Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mimi kuingia leo desktop view mbona nilichoka yaani nots 398 nikabaki nashangaaa quotes 187 mentions 43 nianzie wapi mie na hiyo ni wiki 2 sijui, kazi kweli na app hii. Najua baadhi labda nitakuwa nimeziona

Mtu atazani umemsoma kumbe hata hukuona ame ku quote au mention hadi ukutane nayo kwenye uzi.

Halafu not zikija kama 5 ukifungua unarushwa kwenye vichwa vya forum, muda gani sasa kusaka so nikupotezea.

Nikusubiri tu
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu dada zanguni vipenzi za toka jana mnaendeleaje nilikuwa napita kuwakumbushia ushauri wangu kwenu niliowapa jana ufanyieni kazi. Nikipata muda tena tapita siku ingine kuwakumbusha.

Asanteni sana kazi njema.
 
Kwamimi binafsi nacky kufanyiwa ivyo nimefurahi sanaa tena sana mungu analipa hapa hapa dunia akhera zinaenda hesabu uyo bi kisebengo almanusra avunje ndoa yangu kwa tamaa zake .....
 
Yani hivi kwanini hawashughulikii hili tatizo la notifications bila notifications jf inabore mno. Sasa hyo sijui website ina complications na usumbufu juu. Invisible tuondoleeni kero ya notifications.

Fanyeni kususcribe thread kila mtu akicoment notification unapata,ila mbona mi napata na ninatumia android au haionekani kwa pc?

Mimi sitaki hizi za juu juu bwana ni kero.Nataka nizikute humu kama zamani.
Sio mtu unaona notification ukiingia huku huioni.
 
Last edited by a moderator:
Au nyie mliokua mwanza mnaona nini? Kwani wewe ukiingia humu ndani kwa kutumia App unaona notifications nyingine zaidi ya pm?

zote naona akinikoti,atakaenitag naona pia,pm pia naonaa
 
Habari zenu dada zanguni vipenzi za toka jana mnaendeleaje nilikuwa napita kuwakumbushia ushauri wangu kwenu niliowapa jana ufanyieni kazi. Nikipata muda tena tapita siku ingine kuwakumbusha.

Asanteni sana kazi njema.

Wewe unatu shauri ukiwa ka nani? Kama hutufatilii umejuaje saa zote tuko Jf mind ua own business. Ushauri mpelekee mkeo na Dada ako huko kitaa. Bundle zetu hutununulii hatuhitaji ushauri wako wa kichovu. Mwenyewe utakua mbeya ka mke wa balozi mfyuuuuuuu.
 
Habari zenu dada zanguni vipenzi za toka jana mnaendeleaje nilikuwa napita kuwakumbushia ushauri wangu kwenu niliowapa jana ufanyieni kazi. Nikipata muda tena tapita siku ingine kuwakumbusha.

Asanteni sana kazi njema.

Mbona unaingia kusoma

Haya karibu chakula cha mchana kimeiva na tumeshawaogesha wapendwa pia.

Kuna lingine tena?
 
hivi hujamjua huyo anataka kuunganishwa group ndio maana anajikomentishaaa ,mbona siku zote hatumuon kasikia group Tu huyo kawa Baba ushauri aende angaza hukoo
 
Mbona unaingia kusoma

Haya karibu chakula cha mchana kimeiva na tumeahawaogesha wapendwa pia.

Kuna lingine tena?

anataka kuunganishwa group ILA anashindwa kuongea hhhhhaaaaaaaaa
 
Sijui mods wana ajenda gani kabisa.Mwanzo tulihamia kwenye participated ikawa rahisi kidogo, baada ya wiki kuisha hata participated hakuna kitu.
πŸ˜•πŸ˜•
 
Kwamimi binafsi nacky kufanyiwa ivyo nimefurahi sanaa tena sana mungu analipa hapa hapa dunia akhera zinaenda hesabu uyo bi kisebengo almanusra avunje ndoa yangu kwa tamaa zake .....

Tumalizie basi ule ubuyu shoga, japo nakupa pole sana.
 
Sijui mods wana ajenda gani kabisa.Mwanzo tulihamia kwenye participated ikawa rahisi kidogo, baada ya wiki kuisha hata participated hakuna kitu.
πŸ˜•πŸ˜•

Mods wameamua kutukomesha kabisa hivi hawaoni au kuna shida gani.
 
Kwamimi binafsi nacky kufanyiwa ivyo nimefurahi sanaa tena sana mungu analipa hapa hapa dunia akhera zinaenda hesabu uyo bi kisebengo almanusra avunje ndoa yangu kwa tamaa zake .....

Huyu Nacky ni nooooma aisee. Hana haya ama kweli malipo ni hapa hapa duniani Mbinguni mahesabu tu. Pole mwaaaaya tena angechabwa na kigodoro cha Uruguayi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…