Watajibeba mwaka huu *****, au sijui niweke kule instagram sasa ivi? Maana ule umbea mrefu na picha juu nakwambia, nimeweka private kule au mnaonaje?
mtaje basii nicheke mieeee kwii kwiii
AHahahahah watakoma mwaka huu, wametusema sana, tunawaachia jukwaa lao tunaenda zetu level nyingine, tunaenda kuchukua masters ya gossipiology
Hahahahaa, mwenyewe anajijua sina muda wa kumtaja.
Kibomu chake hicho....
hebu nifunguliekoo huko mieee nimekuomba request sasa hivi
hebu nifunguliekoo huko mieee nimekuomba request sasa hivi
Samaki umeacha kuuza?Nahitaji tenga zima :beer:
Jamani hala hala naombeni ubia panapo umbea...... naomba uniadd
Hatukujui
Username yake si umeiona lakini? Teh teh teh inamaanisha anasindikiza
Jamani kuna watu wapya nimewatumia invitation za lile group letu, nao ni witnessj Avemaria na BADILI TABIA.
Waliokwisha kutumiwa invitation tokea jana na hadi sasa hawajajiunga ni Diva Beyonce warumi binti kiziwi TATIANA na geniveros

Tatizo ni notification ndo maana inasumbua sana. Huko kwa website nimejaribu sijaizoea wala kuijulia.
Dear asante ngoja nione tena... Sipati notification
Tumieni Google jamani.Mkisubiri notifications mtachoka.
Hebu tembeleeni hapa, mnalog in kama kawaida kisha mnaangalia notifications halafu mnajiongeza.
www.jamiiforums.com