Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

nifah am sorry but i dont mean to offend u but please we ni mkali sana na una maneno makali mno japo hayana matusi ila daah...!!
am sorry km ntakukwaza kwa hili
kuhusu jf watu kuchukiana mi naonaga ujinga tu eti unsengenye kwa fake id tena hakuna ht mtu mmoja humu anaenijua labda ataanza kujishobosha shobosha
huo si undezi huoo

au eti unajifanya una hasira au hunipendi mpk huniqoute huo uchizi sasa...

mi mbona jf naichulikiaga km sehemu ya kubadilishana mawazo km darchat enzi zile

jamani km kuna mtu ananichukia nyuma ya keyboard"hongera sana"maana unadhihirisha ulivyo sifuri kiakili na kimwili

yani kabisa unachukia id's za watu labda km mshaonanaga hapo sawa na ndo maana sitaki kukutana na snitches yoyote humu labda wale wanaojielewa

maana utakutana na mtu kwa nia njema tu kumbe at very first place mwenzio kashakutangaza kua una sura km king kong mie nachukia sana maugomvi ugomvi hasa kwenye mitandao km hii maana humu wengine wana wenza wao,ndugu zao, nk
mi napenda sana amani ndo maana nikiona mtu anakuja juu mi napotezea sana si km naogopa ila sioni haja ya kujitoa fahamu sana
pole kwa ww usiyoqoute watu kisa umegombana na anonymous
kazi unayooo...!!

Hahahahahahaa kwanza nimecheka sana kiukweli.....
Ok, sikatai nina hasira ninapochokozwa na hua nakuja juu kwelikweli ila sio kila wakati.
Hakuna mtu ambae hakasiriki.Unataka kuniambia wewe geniveros hua hukasiriki? Labda sio wewe ninaekujua.
Kila mtu hua anakasirika ila tunatofautiana katika reaction tunazofanya kipindi hicho tunapokua na hasira, nadhani umenielewa vyema.

Katika post yako hii umejiongelea wewe kama wewe which is totally wrong my dear.Kwanini nasema hivi? Wasengenyaji, wenye chuki ni watu ambao hawakosekani katika jamii ambao ndio hawahawa tuliokua nao huku JF.

Sawa wewe huwezi kumsengenya, kumchukia mtu sababu ya fake id, unadhani kila mtu ni sawa na wewe? Mtu mwenye busara lazima akubali kua katika jamii kuna watu wa kila aina na kila tabia.
Kwahiyo basi, ni vyema kukubali kwamba watu tunatofautiana. Watu wote hawawezi kuwa kama wewe.

Binafsi naichukulia JF kama sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kupashana habari pia.
Sasa basi, JF kama zilivyo jamii nyingine tunazoishi kuna watu wa kila aina.
Mimi siwezi kulazimisha urafiki au kumquote mtu ambaye hua hajibu quotes zangu, huo ni upumbavu.

Kwanini nilazimishe? Halafu sijawahi kumchukia mtu bila sababu humu.Pia hua sina kinyongo.
Ukiona nipo serious kwamba huyu mtu simquote tena ujue nimewahi kufanya hivyo zaidi ya mara 3 halafu akapotezea na kuwajibu wengine.

Kama ungekua wewe ungeendelea kumquote? Pia watu wengine automatically ni wagomvi.Hivyo basi, ili kuepusha shari naona bora nisiwe najishughulisha nae.
Hiyo sio busara kuuepuka ugomvi?
 
Last edited by a moderator:

okey nimekuelewa mpenzi ...ila tujitahidi kupunguza mihemko!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani nilikua mererani huko so akili iliamia kwenye mashimo lasivyo utaambulia patupu....leo ndio nimerudi dar....ni story ndefu mno kiufupi mmoja wa hao alikua shoga yangu haswa kiasi alizoeana na mume wangu sana....iyo bint kisebengo kuna siku alikutana na ex wangu waloyaongea siyajui na akampa namba yangu nashangaa napigiwa sm mi Fulani mmh nikashangaa namba yangu umetoa wp akamtajaa alompa bs tukapiga story mbili tatu ikapita...nikampigia am shoga kisebengo upempa no.yangu fulani yaah unajua alinifumbua sana kwaiyo nikampa siku mind sana ...kuna siku tumekaa lunch sehemu moja ivi akatokea yule ex wangu akasema aaah kumbe mko hapa kumbe ile mipango aliifanya yeye yote hiyo kuniharibia mi sikua na habari....na picha akanipiga bila kujua nimerudi nyumbani nimemkuta mume wangu amebadilika mno mi sikuelewa kitu na hakutumia sm yake kutuma iyo picha na alimwambia we usimuonyeshe kwanza mkeo nitakuonyesha mambo yake mengi mabaya ....bs kumbe nilikua nikikaa nae nahisi alikua anaondoa sm yangu network tukiachana anampigia sm mume wangu vipi mbona hanipati kwenye sm kwaiyo anajifanya anataka kuongea nami kweli mume wangu atanipigia mda uwouwo kweli hanipati akiunganisha na iyo picha alotumiwa mmh akabadilika mno....si ampigia sm shoga kidawa mi sina habari ....akamwita aonane nae ofisi kwake akawa anamuhoji vipi shoga yako anatatizo gani anataka nini mbona nyinyi wanawake hamridhiki.....yeye tena kwani kuna nini akamuonyesha picha ile unamjua huyu yeye akajidai kama kutoa macho kama hajui kitu akaanza shemeji kunakitu nitakwambia lakini sijui kama utaweza vumilia..mume wangu akashtuka akaanza unajua huyu ni ex wake lakini wamerudiana na nimemtahadharisha hasikii...mume wangu alishtuka sana akamuuliza anaitwa nani huyu kijana akamtajia ....jioni alivyorudi ananiuliza unamjua fulani nilishtuka nikamuuliza ndio nani kilichofuata ni kibao unajifanya humjui bwana ako mmh mi hoi nimechanganyikiwa...akanionyesha picha nilishtuka mno pamoja kwamba tulikua tumekaa kawaida ila alinisogelea sana . Nilichomwambia uyo mtu ndio namjua lakini nilikutana nae bahati mbaya mmh siku iyo sikulala nasubiri kukuche....na hakutaka kuniambia nani katuma iyo picha...kesho namfata shoga kisebengo namuelezea anajifanya kushtuka labda kulikua namtu anaemjua mumeo wewe hukumuona ndio kakupiga kwa jinsi nilivyokua namuamini wala sikumdhania kua ni yeye.....daah nishachoka kuandika jamani hapa machozi yananitoka nikikumbuka .....bd nina maelezo marefu sana
 
kama story ina happy ending mumeo alikuelewa malizia bidada ikawaje
 
Pole sana.Endelea mwaya tujue mwisho wake ni nini.Hope utakua mwisho mwema. Diva Beyonce njoo huku uone mambo...
 
Last edited by a moderator:
Pole sana.Endelea mwaya tujue mwisho wake ni nini.Hope utakua mwisho mwema. Diva Beyonce njoo huku uone mambo...

Shatia timu mwenzangu nataka nione mwisho wa story. Inaonyesha kikulacho ki nguoni mwako kwa kweli loh!
 
Last edited by a moderator:
Duuh Mange chibookoo... Yan kanifanya hao wabaya wake niwasake mmoja mmoja IG.. Bac huyo fk collection/ FAUSTA anavyosema ni mzee ha haa haa mange hapana ni shiiiiida!
 
JAMANI MANGE VIPI BIRTHDAY YA MWAMMY LEO HAUJAENDA KUMSURPRISE???? :teeth: :teeth: UNAWASEMA WENZIO WANAMPAPATIKIA NA WEWE JE? KUACHA MTOTO MDOGO DUBAI TITI LIMEJAA MAZIWA ILI MRADI TU KWENDA DAR KUMPAPATIKIA MWAMMY.HAYA UNAYASEMA YA WENZIO ETI WALIPEWA DOLLAR 5000 WEWE ULIZOPEWA MBONA HAUANDIKI? KWANZA WALA HAZIHESABIKI,HALAFU UNAKUJA KUMUITA KAKA YAKE ETI CANCER,HUNA AIBU WEWE MWANAMKE.HAYA KIMBELEFRONT CHOTE LEO BIRTHDAY YA MWAMMY IMEPITA KIMYAAAAAA UMEONA AIBU KUWEKA POST SI INSTA WALA KWENYE BLOG YAAANI MANGE UNAVYOMTAMANI MWAMMY MRUDIANE URAFIKI YAANI HATA AKIKUAMBIA UVUE AKUSAGE UTAKUBALI, PUUUUH POLE YOU ARE SO DESPARATE.KWA TAARIFA YAKO MWAMVITA AMELIA SANA ULIVYOMTUKANA KAKA YAKE IN PUBLIC UNGEKUWA RAFIKI WA UKWELI UNAYEWAJALI HATA KAMA HAMKO CLOSE UNGEWAANDIKIA MESSAGE KWA NJIA ZINGINE.KUANDIKA KWENYE PUBLIC NI DALILI KUWA UMENGOJEA SAANA SANA KURUDIANA NA MWAMVITA SASA UNAONA MUDA UNAZIDI KWENDA NA NDIO KWANZA ANAZIDI KWA NDUGU NA KIKI, BIMDO ,NACKY ETC KIMEKUUMA WEEEEE UKAAMUA UANZE KUMUATTACK KIJANJA KUPITIA KAKA YAKE.UMEWAUMIZA SANA FAMILIA ILE HAWATOKAA WAKUSAHAU.WEWE KURUDIANA NA MWAMVITA SAHAUUUU LABDA KAMA ANATAKA LAANA YA MZEE NA MAMA MAKAMBA. TOFAUTI YAKO NA WALE WADADA NI KUWA WENZIO WANAHESHIMIANA DESPITE THEIR DIFFERENCES, WANAELEWA NOBODY IS PERFECT,ILA WAMEKUWA WATU WAZIMA NA WANAZIDI KUPENDANA KUHESHIMIANA NA KUSAIDIANA,KWA BAHATI NZURI WEWE MNAFIKI NDIO UMETOKA MAPEMA KWENYE KUNDI BASI KAMA UNANGOJEA WAGOMBANE UTANGOJEA SANAAAA TENA MNOOOO,WATAZIDI KUSHIKAMANA HADI UZEE WAO, NA MWENYEZI MUNGU ATAWAJALIA.WEWE ENDELEA KUKAA NA ROHO YAKO YA KWANINI UONE ITAKUFIKISHA WAPI, MWAKA WA 3 HATA RAFIKI WA KARIBU WA KIMAREKANI UMESHINDWA KUPATA, MWILI UNAKAA USA AKILI IKO BONGO.SI UMEOLEWA? SI UNASEMA UNAMPENDA MUMEO? SASA KWANINI AKILI IKO BONGO MASAA 24? KAAAZI KWELIKWELI ENDELEA KUUGUZA KIDONDA CHA KUACHA MATAAA NA KINA KIKI NACKY MWAMVITA ETC HALAFU HAO ULIOWAPA SIFA KIASI MWAMMY JOSELENE ETC FUTA TU HIZO SIFA NI HAWAKUTAKIIIIIIIII.SASA KESHO NDIO UTABLEED GHAFLA UKIJUA NANI NA NANI WAKO SOUTH FOR DINNER YA MWAMVITA, YAANI OMBEA MUNGU MWAMVITA ASIWEKE PICHA ZOTE, UTAJUTRAAAAAAAA
 
Halafu hivi Mange kwanini umemuandika Miriam Odemba alienda US akawa na bwana then Fausta wa FKs Collection akamuiba huyo tajiri? kwanini unawanika wenzio hivyo, si wake za watu wale? daaaah wewe yakwako na Albert mbona hauyasemi,halafu naomba utupe summary tu kwanini dada Zenat aliondoka ghafla na cherehani mlichomnunulia zawadi akakiacha US? Unaenda bongo hamuonani wala hamuwasiliani? what happened doll :becky::becky::becky::becky::becky::becky: Halafu hivi Bimdo na Mwamvita ni ndugu au? ikawaje wewe na Bimdo wote mkadungwa mimba na Frank na watoto zenu umri umekaribiana??? Halafu ndoa yako miezi 3 ilikufaga kabisaaaa baba mwenye nyumba akaenda kuishi na wazazi wake, mkaona mambo yenu ya mkopo wa nyumba bank italeta noma baba mwenye nyumba akarudi LA ila ndio tunasikia anakaa mabwenini na teenagers wanaosoma halafu anakuja home kuangalia watoto some weekends? picha siku hizi umepunguza mume kawa mzazi mwenzio eeeh?? madevu yamemjaa kwa stress,hahahaaa maisha ya ughaibuni kaazi kweli, sasa mtu mmeshatengana mnatoa wote out mapicha mnapiga yale ndio mfurahishe watoto au kwa ajili ya kutundika kwenye blog kufumba wacho watanzania HAHAHAAHAHA nasikia wakwe zako mpaka leo wameweka ngumu hamuelewani, hawakutaka hata mtoto wao arudi close na wewe,sasa si muowane tena???maana pete zako ulizitupa kwa hasira au sijui umeuza ndio pesa ukanunulia lipstick za kuuza?? Summer hiyo jua limetoka hemu mpatane na wakwe zako haraka mtakosa pa kwenda holiday :becky::becky::becky::becky: YAKWENU HAMSIMULIII YA WENZENU MNABWABWAJA MIDOMO KAMA MMETIWA BETRI:becky:
 
Endelea basi maana unaonekana unaubuyu mtamu
 
Now this sounds surprisingly convincing....

One of those things that make you go hmm....
 
SIERA stori yako inasisimua sana watu wabaya jaman
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom