"Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia.
Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaji ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu kwa ajili ya kudeal nao kila mmoja ikiwemo kufunga huduma zao, na sio muda mrefu serikali watatoa tangazo la wote wanaoendesha makanisa yasiosajiliwa wafungiwe ila wataofungiwa ni wale wataoonekana hawapo kwa samia
.
.
We can not allow this to continue. Watanzania tarehe 29 Oktoba hakuna mtu kubaki ndani. Maandamano ya amani ni haki yako ya kikatiba. Nchi nzima tukitoka tunamaliza huu uonevu"
UPDATE: Serikali kupitia msemaji wake mkuu imekanusha barua hiyo
Kuna taarifa zinasambaa kuhusu maagizo kwenye nyanda zote kuwasilisha taarifa za viongozi wa madhabau wasiomuunga mkono nahodha wao kuwasilishwa ifikapo 24.09.2025
Kama tumefikia hapa, inasikitisha sana, ni wazi wamepanick, na wanaharibu zaidi.
Hii ni hatari aisee, wanafikiri wanadhibiti kumbe ndo wanaharibu kabisa, wanashindwa kusoma alama za nyakati kuwa mfumo umegawanyika, maagizo yoyote ya siri, yatavuja tu.
Polepole amewapa Code ila hawamuelewi, kuwa tumegawanyika, vitu lazima vivuje kwnye mazingira hayo, na huu ni uthibitisho. Barua haina hata muda mrefu ishavuja.
"Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia.
Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaj ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu kwa ajil ya kudeal nao kila mmoja ikiwemo kufunga huduma zao, na sio muda mrefu serikali watatoa tangazo la wote wanaoendesha makanisa yasio sajiliwa wafungiwe ila wataofungiwa ni wale wataoonekana hawapo kwa samia
.
.
We can not allow this to continue. Watanzania tarehe 29 Oktoba hakuna mtu kubaki ndani. Maandamano ya amani ni haki yako ya kikatiba. Nchi nzima tukitoka tunamaliza huu uonevu"View attachment 3472940
Napost nikiwe ujerumani sahii.. 😅😅😅 guys huwa sipost sana humu, kipindi cha COVID niliwahi post kitu, kesho yake nikakuta kunamtu alijaribu ku login to my email nikafanya back tracking nikakuta anatokea pale Dodoma ikipo library ya Dodoma named viwandani.. so tusijipe asilimia 100% kwamba we can't be traced.. all in all huyo mkwe wa Mama anazingua anastaili majority 😠
"Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia.
Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaj ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu kwa ajil ya kudeal nao kila mmoja ikiwemo kufunga huduma zao, na sio muda mrefu serikali watatoa tangazo la wote wanaoendesha makanisa yasio sajiliwa wafungiwe ila wataofungiwa ni wale wataoonekana hawapo kwa samia
.
.
We can not allow this to continue. Watanzania tarehe 29 Oktoba hakuna mtu kubaki ndani. Maandamano ya amani ni haki yako ya kikatiba. Nchi nzima tukitoka tunamaliza huu uonevu"
"Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia.
Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaj ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu kwa ajil ya kudeal nao kila mmoja ikiwemo kufunga huduma zao, na sio muda mrefu serikali watatoa tangazo la wote wanaoendesha makanisa yasio sajiliwa wafungiwe ila wataofungiwa ni wale wataoonekana hawapo kwa samia
.
.
We can not allow this to continue. Watanzania tarehe 29 Oktoba hakuna mtu kubaki ndani. Maandamano ya amani ni haki yako ya kikatiba. Nchi nzima tukitoka tunamaliza huu uonevu"View attachment 3472940
Mkuu, sasa hivi sahau mambo kufuata utaratibu, kuna genge la wahuni limeingia serikalini, si ajabu hyo barua wameandika hao wahuni juu kwa juu, zikapelekwa uko mikoani.
Kwa taarifa za ndani, inasemekana mama akienda ziara, jumba jeupe anaachiwa mtu wa kulinda kiti chake, sio makamu wake, kuna mtu na anasemwa sana naye kwenye matukio, unafikiri kwenye mazingira hayo barua itakuwa na QR code, ushasahau ya ile barua ingine iliovuja, “shughulikia haraka”.