Tetesi: Mange: Serikali yatoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia

Tetesi: Mange: Serikali yatoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia

Ameandika Mangekimambi

"Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia.

Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaj ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu kwa ajil ya kudeal nao kila mmoja ikiwemo kufunga huduma zao, na sio muda mrefu serikali watatoa tangazo la wote wanaoendesha makanisa yasio sajiliwa wafungiwe ila wataofungiwa ni wale wataoonekana hawapo kwa samia
.
.
We can not allow this to continue. Watanzania tarehe 29 Oktoba hakuna mtu kubaki ndani. Maandamano ya amani ni haki yako ya kikatiba. Nchi nzima tukitoka tunamaliza huu uonevu"View attachment 3472940​
Akina NDUNGURU kumbe akili kisoda namna hii
 
Jamiiforums mnaishicha hii taarifa fake ili iweje hata mjinga kiasi gani anajua hii ni fake

USSR
 
Ameandika Mangekimambi

"Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia.

Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaji ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu kwa ajili ya kudeal nao kila mmoja ikiwemo kufunga huduma zao, na sio muda mrefu serikali watatoa tangazo la wote wanaoendesha makanisa yasiosajiliwa wafungiwe ila wataofungiwa ni wale wataoonekana hawapo kwa samia
.
.
We can not allow this to continue. Watanzania tarehe 29 Oktoba hakuna mtu kubaki ndani. Maandamano ya amani ni haki yako ya kikatiba. Nchi nzima tukitoka tunamaliza huu uonevu"

View attachment 3472940

UPDATE: Serikali kupitia msemaji wake mkuu imekanusha barua hiyo
View attachment 3473139

​
Mods naona kazi zimeanza kuwashinda, unatumiaje barua ya Msigwa kukanusha taarifa, !?acheni mambo ya ajabu
 
Sidhani kama zote zina hiyo QR code. Nimeona moja mahali haina hicho kitu
Mbali na muunfo wa uandishi na kukosekana QR code, Katibu Mkuu Tamisemi siyo mamlaka ya wakuu wa Mikoa hata atoe maelekezo. Hawa wapo chini ya Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu
G085120WIAAouj_.jpeg
 
Barua ina makosa mengi mno ya kiuandishi. Pia hata mhuri haina. Wafuasi wa CHADEMA ambao pia ni wafuasi wa Mange ni wapumbavu wanaodanganywa kirahisi sana. Aliyewaita nyumbu aliona mbali mno.
 
Barua ina makosa mengi mno ya kiuandishi. Pia hata mhuri haina. Wafuasi wa CHADEMA ambao pia ni wafuasi wa Mange ni wapumbavu wanaodanganywa kirahisi sana. Aliyewaita nyumbu aliona mbali mno.
Serikali imejaa wahuni hata barua wanaandika kihuni
 
Barua ina makosa mengi mno ya kiuandishi. Pia hata mhuri haina. Wafuasi wa CHADEMA ambao pia ni wafuasi wa Mange ni wapumbavu wanaodanganywa kirahisi sana. Aliyewaita nyumbu aliona mbali mno.
Wapunbavu ni wale wanaoshangilia kesi za mchongo zinazosimamiwa na mawakili wanaotia aibu.
 
Barua ina makosa mengi mno ya kiuandishi. Pia hata mhuri haina. Wafuasi wa CHADEMA ambao pia ni wafuasi wa Mange ni wapumbavu wanaodanganywa kirahisi sana. Aliyewaita nyumbu aliona mbali mno.
Hata kama ni mahaba tafakari kizazi chako kitaishi kwenye nchi ya namna gani.
 
Back
Top Bottom