KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Yaan badala ya kupanua bongo wao wanapanua vidole...
Kwa hyo hapa chadomo wanajiona wana mwambaa?
Mambo ya kipuuzi
Kwa hyo hapa chadomo wanajiona wana mwambaa?
Mambo ya kipuuzi
Mange Kimambi anawakimbiza hadi wanapata kiwewe.🤣🤣🤣Acheni uongo,hakuna barua ya serikali huandikwa kwa mtindo huo.
Nitolee ujinga wako hapaHata kama ni mahaba tafakari kizazi chako kitaishi kwenye nchi ya namna gani.
Barua zote za serikali Kwa sasa Zina QR code.
Ameandika Mangekimambi
"Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia.
Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaji ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu kwa ajili ya kudeal nao kila mmoja ikiwemo kufunga huduma zao, na sio muda mrefu serikali watatoa tangazo la wote wanaoendesha makanisa yasiosajiliwa wafungiwe ila wataofungiwa ni wale wataoonekana hawapo kwa samia
.
.
We can not allow this to continue. Watanzania tarehe 29 Oktoba hakuna mtu kubaki ndani. Maandamano ya amani ni haki yako ya kikatiba. Nchi nzima tukitoka tunamaliza huu uonevu"
View attachment 3472940
UPDATE: Serikali kupitia msemaji wake mkuu imekanusha barua hiyo
View attachment 3473139
Ujiona hivyo ni mhuni mmoja alataka kumfurahisha Mange KimaviZa kuelekeza uovu, haziwekwi QR code.
HawatakiSasa kwanini wasimuunge🤣🤣🤣
WatatakaHawataki
Usikute haina QR code makusudi. Mtu akiandika illegal letter lazima aache mlango wa kutokea!Barua zote za serikali Kwa sasa Zina QR code.