Tetesi: Mange: Serikali yatoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia

Yaan badala ya kupanua bongo wao wanapanua vidole...
Kwa hyo hapa chadomo wanajiona wana mwambaa?
Mambo ya kipuuzi
 
Mange huwa hapost kitu bila kujilidhisha au kutoka chanzo cha uhakika nawashangaa wanaosema hii siyo ya kweli
 

Tulijua yu watakanusha.

MWENYE KIFUA KIPANA atoke akanushe mwenyewe kama ni kweli.
 
Wanao ujua mda vizuli huku baliana nao lakini wasio ujua hubishana nao na matokeo take huwa mabaya sana
 
Wanao ujua mda vizuli huku baliana nao lakini wasio ujua hubishana nao na matokeo yake huwa mabaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…