Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwanamke karibia atakuwa kichaa sasa.
Tukisema ameachika anakataa.
Hivi kweli mke wa mtu unatoa somo gani hilo?
Kweli MangeKimambi na usomi wako wote badala uwape mabinti maarifa uliyopata darasani unawafunza jinsi ya kutumia nyeti zao wapate maisha?
Hata hivyo hiyo ndio kazi yako,huwezi kuwashauri tofauti na ulichobobea.
Mumrushie mawe Mange weeee... ila kuna kijiukweli fulani kwa mbaaaaaaliii
Bidada baada ya kuachika ndio amegundua power ya pu$$y.!!! Lakini sidhani Kama kipochi chake is worth that much.
Kumbe Ni Msomi? Amebobea kwenye nini vile?Huyu mwanamke karibia atakuwa kichaa sasa.
Tukisema ameachika anakataa.
Hivi kweli mke wa mtu unatoa somo gani hilo?
Kweli MangeKimambi na usomi wako wote badala uwape mabinti maarifa uliyopata darasani unawafunza jinsi ya kutumia nyeti zao wapate maisha?
Hata hivyo hiyo ndio kazi yako,huwezi kuwashauri tofauti na ulichobobea.
Huyu dada kuna kipindi nilikua nafuatilia sana Blog yake lakini baada ya kuona kila kukicha ni habari moja tu ya Baby boy ikabidi niachane naye nikajua hana habari, by the way ameachika lini tena huyu mrembo nimtafute anilie hela kidogo namimiHaki ya mama Mange ndio kwishney! kweli kama ni talaka inampa ulevi hivi kazi ipo.
Habari ipo humu JF jukwaa la hili hili, naona anaeleza jinsi ya kuishi kwa kutumia nyapu.Huyu dada kuna kipindi nilikua nafuatilia sana Blog yake lakini baada ya kuona kila kukicha ni habari moja tu ya Baby boy ikabidi niachane naye nikajua hana habari, by the way ameachika lini tena huyu mrembo nimtafute anilie hela kidogo namimi
Umenikumbusha kile kibonzo cha Chikunde. Kaazi kwelikweli.Chikunde loves me something fierce.
Umenikumbusha kile kibonzo cha Chikunde. Kaazi kwelikweli.
BTW hiyo id siyo ya Mange, iangalieni vizuri ina _ wakati ya Mange haina hiyo alama.
ie real ni Mangekimambi na siyo Mangekimambi_
Talk about attention to detail.
Ina maana kuna mmoja wa ma-fans wake ana pose kama yeye?
If that's the case then wowzers!
Huyo dada naona watu wengi sana wanamkubali ila wako kwenye denial.
Ni kama wenu mtiifu tu hapa. Najua watu wananikubali sana tu. Kila wakiona mabandiko yangu lazima wasome waone nimesema nini.
Ndo hayo hayo ya binti. Watakuwa wanamkubali sana. Haiwezekani mtu mmoja, tena eti supposedly anayechukiwa saana, kukosesha watu usingizi namna hii. Na hao watu hawaishi kumfuata huko kwenye maushuzi ya sijui Instagram nini nini. Yaani haiingii kabisa akilini aisee.
Halafu anavojua kuwatoa watu mapovu sasa....hahahaaa....just classic textbook. Huwa nahisi kama keshawasoma wajinga wajinga walivyo na anajua nini cha kufanya kuwatoa mapovu na utoko....teh teh teh.
Not to toot my own horn but I wouldn't be least bit surprised if she takes pointers from the best (read: me) on how to aggravate online trolls.
She has definitely taken the mantle of being the number one hater aggravater......
USA baby.........
Obvious, Mange ni popular figure Bongo kwenye social networks.
Hivyo mtu akitumia account name inayofanana fanana anajihakikishia followers ndani ya kipindi kifupi.
Na anachojaribu kufanya ni kupost kila kitu kwa mfanano wa Mange mwenyewe.
Ni kama Wema Sepetu, kuna acc nyingi sana siyo zake ila ziko kwa jina lake.