Mange unataka kufundisha nini wanawake?

Mange unataka kufundisha nini wanawake?

Huyu mwanamke karibia atakuwa kichaa sasa.
Tukisema ameachika anakataa.
Hivi kweli mke wa mtu unatoa somo gani hilo?
Kweli MangeKimambi na usomi wako wote badala uwape mabinti maarifa uliyopata darasani unawafunza jinsi ya kutumia nyeti zao wapate maisha?
Hata hivyo hiyo ndio kazi yako,huwezi kuwashauri tofauti na ulichobobea.

upo sahihi, anatumia nyeti na mbaya zaidi haijamfikisha popote sanasana anaharibikiwa akaili
 
Mumrushie mawe Mange weeee... ila kuna kijiukweli fulani kwa mbaaaaaaliii

Hahahaaaaa huyo mdada ni kiboko.

Sanaa ya kuwatoa watu mapovu anaimudu vizuri sana.

Mida hii usikute yuko kitandani na mumewe halafu huku kwenye mbu watu wanatoa mapovu kushinda concentrated Tide laundry detergent.

Ana 'fans' wengi sana huyo dada. Hata so called haters ni fans pia ila walioko kwenye denial tu.

I hope she turns all her haters into motivators, just like I do.

USA baby......
 
Huyu mwanamke karibia atakuwa kichaa sasa.
Tukisema ameachika anakataa.
Hivi kweli mke wa mtu unatoa somo gani hilo?
Kweli MangeKimambi na usomi wako wote badala uwape mabinti maarifa uliyopata darasani unawafunza jinsi ya kutumia nyeti zao wapate maisha?
Hata hivyo hiyo ndio kazi yako,huwezi kuwashauri tofauti na ulichobobea.
Kumbe Ni Msomi? Amebobea kwenye nini vile?
 
Haki ya mama Mange ndio kwishney! kweli kama ni talaka inampa ulevi hivi kazi ipo.
Huyu dada kuna kipindi nilikua nafuatilia sana Blog yake lakini baada ya kuona kila kukicha ni habari moja tu ya Baby boy ikabidi niachane naye nikajua hana habari, by the way ameachika lini tena huyu mrembo nimtafute anilie hela kidogo namimi
 
Habari ipo humu JF jukwaa la hili hili, naona anaeleza jinsi ya kuishi kwa kutumia nyapu.
 
BTW hiyo id siyo ya Mange, iangalieni vizuri ina _ wakati ya Mange haina hiyo alama.

ie real ni Mangekimambi na siyo Mangekimambi_
 
BTW hiyo id siyo ya Mange, iangalieni vizuri ina _ wakati ya Mange haina hiyo alama.

ie real ni Mangekimambi na siyo Mangekimambi_

Talk about attention to detail.

Ina maana kuna mmoja wa ma-fans wake ana pose kama yeye?

If that's the case then wowzers!
 
Talk about attention to detail.

Ina maana kuna mmoja wa ma-fans wake ana pose kama yeye?

If that's the case then wowzers!

Obvious, Mange ni popular figure Bongo kwenye social networks.

Hivyo mtu akitumia account name inayofanana fanana anajihakikishia followers ndani ya kipindi kifupi.

Na anachojaribu kufanya ni kupost kila kitu kwa mfanano wa Mange mwenyewe.

Ni kama Wema Sepetu, kuna acc nyingi sana siyo zake ila ziko kwa jina lake.
 
Mkuu case yako na ya huyu chizi ni tafauti.Hata mm nakukubali ingawaje samtaimz huwa tunatafautiana mitazamo.ndo maisha yalivyo dunianiwatu hatuwezi kuwa na mitazamo sawa.Pili wewe huwa unafanya trolling lakini watu tunajua unaakili zako ziko sawa tu,na uelewa wa mambo unao.lakini huyu bishosti matendo na kauli zake inaonyesha kabisa hayuko sawa.na anachopost ndo anachokusudia ndo akili yake inavyomtuma na sio trolling wala baiting.
Huyo dada naona watu wengi sana wanamkubali ila wako kwenye denial.

Ni kama wenu mtiifu tu hapa. Najua watu wananikubali sana tu. Kila wakiona mabandiko yangu lazima wasome waone nimesema nini.

Ndo hayo hayo ya binti. Watakuwa wanamkubali sana. Haiwezekani mtu mmoja, tena eti supposedly anayechukiwa saana, kukosesha watu usingizi namna hii. Na hao watu hawaishi kumfuata huko kwenye maushuzi ya sijui Instagram nini nini. Yaani haiingii kabisa akilini aisee.

Halafu anavojua kuwatoa watu mapovu sasa....hahahaaa....just classic textbook. Huwa nahisi kama keshawasoma wajinga wajinga walivyo na anajua nini cha kufanya kuwatoa mapovu na utoko....teh teh teh.

Not to toot my own horn but I wouldn't be least bit surprised if she takes pointers from the best (read: me) on how to aggravate online trolls.

She has definitely taken the mantle of being the number one hater aggravater......

USA baby.........
 
Obvious, Mange ni popular figure Bongo kwenye social networks.

Hivyo mtu akitumia account name inayofanana fanana anajihakikishia followers ndani ya kipindi kifupi.

Na anachojaribu kufanya ni kupost kila kitu kwa mfanano wa Mange mwenyewe.

Ni kama Wema Sepetu, kuna acc nyingi sana siyo zake ila ziko kwa jina lake.

Got ya.

Ila huyo mdada anatesa sana hisia za watu na keshalijua hilo.
 
Back
Top Bottom