Mange unataka kufundisha nini wanawake?

Mange unataka kufundisha nini wanawake?

Mange bwana,ila atakuwa hayupo sawa,yupo na depression kubwa sana
 
Ookeeee kumbeee nilikuwa sijuiiii

Mie si mfatiliaji sana wa mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila huu uzi umenipa taarifa kuwa wabaya wako au wanaonichukia kiufupi wanakupenda na wanakukubali ni vile tuu akili zao hazitaki kukubali kuwa uko juu heheheheee.
Baada ya kurudisha nyuma akili nikakumbuka jinsi watu humu JF wanavokuwaga kimbele front kumnanga mtu na kumuona mbulula kila leo kumkejeli kwa maneno ya maudhi. Ila cha ajabu kila akiweka post wananifatilia na kukomenti hasi hehehehheee basi raha .......
Kupendwa bure bure na kuwa na followers wasiokubali kuwa wnakufollow huku kwenye vijingi vyao wnakubeza na kukutukana.
Mie sina kumbukumbu nzuri ila hadi sasa sijawa mfuasi wa mtu kwa kumganda kwenye kila nyuzi zake na kumbeza. Ila woooteee yaani wengine woooteee kila mmoja wenu kwa tangazo hili na maoni ya wadau mbali mbali kwenye uzi huu.... ukiona wewe kiu wazi wazi humkubali mtu na unamuona punguani wa hedi kwa kila bandiko aliwekalo humu JF basi ujue wewe ni square au cubic yake.
Hehehehehehehee nimefurahi sana kupata maana yiipiiiiii yeeheeeeee hahahahahaa Kasindeeeeeey
 
Huyu binti nimemjulia humu ...hasa ID ya muke wa muzungu ilipokuwa ikihusishwa nae ....all in all anastahili "attention" ....nimempenda tu ...
 
Tatizo la binaadam wengi ni unafiki....Kuna kweli nyingine zikisemwa hadharaani kila mtu anajifanya mstaarabu sana na kuinga....Alichoongea Mange ndio kinachoendelea kwa kiasi kikubwa katika maisha ya Sasa.....Wanawake wengi wanatumia miili yao kujinufaisha kimaisha...Japo humu watapinga na kumuona mange kama shetani...Lakini wakikaa na kujitafakari wengi wao watagundua wanatumia nyeti zao kuweka maisha sawa....Tena wengi sana
 
Huyu binti nimemjulia humu ...hasa ID ya muke wa muzungu ilipokuwa ikihusishwa nae ....all in all anastahili "attention" ....nimempenda tu ...

Hata mimi nilimjulia humu kipindi cha blogu ya ZeUtamu baada sijui ya kupigwa na yule wakili Magai sijui.

Sikujua hatimaye atakuja kuwa maarufu namna hii hadi kukosesha watu usingizi na kubuni madhila dhidi yake.

Kesho hata wewe ukija na simulizi ya sijui Mange anafanya kazi kwenye retirement home kama CNA, bila hata ushahidi wa kutosha na wa kuhitimisha, utashangaa jinsi ambavyo baadhi ya Homo sapiens watakavyofurahi na kuamini hook, line, and sinker kila kitu ulichoandika kisa tu kinamuakisi huyo mdada vibaya.

That's the level of silliness the fixation on her has descended to.
 
Mtu mwenye 'depression kubwa sana' wanaomfuatilia huko kwenye ma Instagram yake na kuanza kumchukia , wao wana nini? Mange obsession syndrome kubwa sana au...?
itakuwa hivyo,Mange ana nyota hata akipost upupu,lazima utakopiwa na kuletwa hapa kujadiliwa
 
Namuunga mkono kabsa somo zur ni vle watu hawajamuelewa au wameelewa lkn wanajifanya awajamwelewa coz wanamchukia mange anawaelimisha wanawake kujua thamani yao sio unalalwa hovyohovyo tu wala hajamaanisha wajiuze
 
itakuwa hivyo,Mange ana nyota hata akipost upupu,lazima utakopiwa na kuletwa hapa kujadiliwa

Hahahaaa what a sad state of affairs.

Nasubiri siku ajambe, ajirekodi, halafu aipost audio ya huo ushuzi wake huko Instagram tuone itakavyokuwa.

Bila ya shaka hiyo audio na print screens za hiyo post zitanakiliwa na kuletwa kujadiliwa huku (JF).

Silly is on steroids, I tell ya!
 
Huyo dada naona watu wengi sana wanamkubali ila wako kwenye denial.

Ni kama wenu mtiifu tu hapa. Najua watu wananikubali sana tu. Kila wakiona mabandiko yangu lazima wasome waone nimesema nini.

Ndo hayo hayo ya binti. Watakuwa wanamkubali sana. Haiwezekani mtu mmoja, tena eti supposedly anayechukiwa saana, kukosesha watu usingizi namna hii. Na hao watu hawaishi kumfuata huko kwenye maushuzi ya sijui Instagram nini nini. Yaani haiingii kabisa akilini aisee.

Halafu anavojua kuwatoa watu mapovu sasa....hahahaaa....just classic textbook. Huwa nahisi kama keshawasoma wajinga wajinga walivyo na anajua nini cha kufanya kuwatoa mapovu na utoko....teh teh teh.

Not to toot my own horn but I wouldn't be least bit surprised if she takes pointers from the best (read: me) on how to aggravate online trolls.

She has definitely taken the mantle of being the number one hater aggravater......

USA baby.........
Umeonae yan haters wote wanamkubali deepdown wanamponda lkn ushaur wake wanaufata kimyakimya
 
Kila mtu na maisha yake.

Mange yeye anafanya hivi hayo ni maisha Yake.
Na hii tabia ya kusema anawafunza wasichana wadogo ni unafki tu. Hao wasichana kama hawajafunzwa na mama zao msisingizie wengine.

Binafsi sikubali na alichosema.
 
Back
Top Bottom