LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Mhh mkuu inabidi utupe evidence na ufafanuzi zaidiHapana ni watu wawili tofauti. Trust me i know what im saying. Lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh mkuu inabidi utupe evidence na ufafanuzi zaidiHapana ni watu wawili tofauti. Trust me i know what im saying. Lol
Mambo ya bankingKumbe Ni Msomi? Amebobea kwenye nini vile?
Mhh mkuu inabidi utupe evidence na ufafanuzi zaidi
Hahah sasa mbna unataka nije PM lolHahaha hyo siri yangu mm. Im sorry i can't. Lol
Hahah sasa mbna unataka nije PM lol
YahhMmmh, mm kweli nimesema hvyo ?? Lol
Kesho ndio wamaliza mwezi tokea ujiunge JF sivyo ??
Uko Sawa umeandika lililokua akilini mwanguAlaf pia kuhusu suala la love in dinial sio kweli kwa wote.si kila anayemfuatilia ana love/hate her.sometimes watu wanatafuta entertainment tu,and idiots are the best entertainers
Mange bwana,ila atakuwa hayupo sawa,yupo na depression kubwa sana
Huyu binti nimemjulia humu ...hasa ID ya muke wa muzungu ilipokuwa ikihusishwa nae ....all in all anastahili "attention" ....nimempenda tu ...
itakuwa hivyo,Mange ana nyota hata akipost upupu,lazima utakopiwa na kuletwa hapa kujadiliwaMtu mwenye 'depression kubwa sana' wanaomfuatilia huko kwenye ma Instagram yake na kuanza kumchukia , wao wana nini? Mange obsession syndrome kubwa sana au...?
itakuwa hivyo,Mange ana nyota hata akipost upupu,lazima utakopiwa na kuletwa hapa kujadiliwa
Umeonae yan haters wote wanamkubali deepdown wanamponda lkn ushaur wake wanaufata kimyakimyaHuyo dada naona watu wengi sana wanamkubali ila wako kwenye denial.
Ni kama wenu mtiifu tu hapa. Najua watu wananikubali sana tu. Kila wakiona mabandiko yangu lazima wasome waone nimesema nini.
Ndo hayo hayo ya binti. Watakuwa wanamkubali sana. Haiwezekani mtu mmoja, tena eti supposedly anayechukiwa saana, kukosesha watu usingizi namna hii. Na hao watu hawaishi kumfuata huko kwenye maushuzi ya sijui Instagram nini nini. Yaani haiingii kabisa akilini aisee.
Halafu anavojua kuwatoa watu mapovu sasa....hahahaaa....just classic textbook. Huwa nahisi kama keshawasoma wajinga wajinga walivyo na anajua nini cha kufanya kuwatoa mapovu na utoko....teh teh teh.
Not to toot my own horn but I wouldn't be least bit surprised if she takes pointers from the best (read: me) on how to aggravate online trolls.
She has definitely taken the mantle of being the number one hater aggravater......
USA baby.........