MangeKimambi, kinara wa maandamano ya Oktoba 29 huyu hapa

Kunijua kuna shida gani?

Oktoba ni mwendo wa Taifa kukombolewa tu.

Karibu Dar uone Taifa litakavyokombolewa.
Kama unadhani utakombolewa na mkaa uchi basi una safari ndefu sana ya ukombozi
 
Kwa hiyo unavyoipost hii picha yake unalenga nini hasa?

Kwamba watu wakiiona hii picha ndio wataacha kumchukulia serious?

Kweli UVCCM imejaza ma low iq indivuduals.
Basi angalia na hii kama hiyo unaona haina shida;-

 
Anatengeneza taharuki ili apate kuchangamsha App yake ya udaku, atengeneze pesa. Hata akitoka Samia akaja Tundu Lissu naye atamuandika hivyo hivyo ili apate hela
Ya Mange hayatuhusu.

Kinachituhusu sisi ni kulikomboa Taifa letu.
 
We ni nani kule sisiemuni kwani? Huyuhuyu unayemuita malaya alimlaza jiwe na viatu, betri kdg ichomoke na kapigisha mapolisi mchakamchaka, hapa tu mama yenu hapati utulivu akiwa na baba sembuse wewe mfuta vumbi wa lumumbaz?
 
Hivi hizi picha zina shida gani wakati ni papuchi zinazokimbiliwaga na sisi akina baba... tuache kuwanyanyapaa madada na wamama zetu... hata wakipiga za utupu, ni shauri yao, wapambane na hari zao kimaisha kama sisi wababa tunavyopambana.
Tusiwadharirishe kwa mapungufu yao, rejea kisa cha yuke babu wa kwenye biblia aliyelewa pombe na kukaa uchi, mmoja wa watoto wake alipo mcheka, akapewa laana ya maisha, tusiende huko na kupata laana kwa madhaifu ya wengine...
 
Tuwekee kwanza na zile picha za Chivayo na Bosi wako ili tupime nani yuko sahihi zaidi kwenye kupiga picha za kutatanisha, huku akiwa maeneo yasiyo stahili..
 
🚮
Hata Polepole alipokuwa anakula nchi kwa urefu wa kamba na kununua madiwani na wabunge wa upinzani kwa pesa za walipa kodi, alikuwa anaongea kwa nyodo kama wewe hivi.

Kwamba Watanzania hawaoni sababu ya kudai haki zao ila wanafuata maelekezo ya Mange??
 
Hakuna mtakachofanya nyie nyumbu. Mtapigwa mchakae
 
Tanzania bado ina watu wengi wajinga lakini je nashangaa? jibu, hapana ukiwa na watu mpaka leo hawajui kuandika "L" na "R". Huyu dalali anachopelekewa anarusha tu kuleta chuki na sababu kuna watu wanamsikiliza na kumuamini. Kama hii juzi eti container pesa zinachapishwa tu watu wenye uelewa wanajuwa hakuna ukweli 100% na yeye anajuwa, lakini kwa kuwa lengo kuchochea vurugu anatuma tu.

Sasa akituma hizi habari wenye akili wanajitoa lakini yeye analenga wale wajinga watatoka watu wamekaza mishipa 80% na matusi, hawa watu hawajui chochote kuhusu madhara ya kuchapisha wala ugumu wa kufanyika basi tu chuki na ujinga.
 
We ni nani kule sisiemuni kwani? Huyuhuyu unayemuita malaya alimlaza jiwe na viatu, betri kdg ichomoke na kapigisha mapolisi mchakamchaka, hapa tu mama yenu hapati utulivu akiwa na baba sembuse wewe mfuta vumbi wa lumumbaz?
Magu alikuwa spanner 🔧 mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…