Ukimchukua A baadaye utaanza kumfikiria B na ukimchua A baadaye unamfikiria B.
Ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa lakini tendo la ndoa ndilo linaimarisha ndoa.
Kesi nyingi za kuchepuka chanzo ni upungufu au ukosefu wa tendo.[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ