Manguli wa mapenzi msaada wa haraka unahitajika kwangu naomba njooni mnisaidie

Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,.
Changamoto yangu ambayo ninahitaji msaada wenu ni kuwa,

Nina wapenzi wawili ambao wate kwa pamoja wanaonyesha kunipenda sana, wananipenda mpaka nimekuwa nashindwa kuelewa niingie na yupi kwenye ndoa na wote wanahitaji niwaoe,.
Shida inakuja kuwa,

MMOJA ni mzuri sana kumtazama machoni pangu na machoni pa watu pia. Yaani akivaa na akiwa anatembea humtoi kasoro. Mfano kwenye picha, ila sasa kasoro yae kitandani hanipi kile ninachohitaji.

Alafu huyu mwengine yeye kitandani ananipa ninachotaka tena mpaka na ziada, nikilala naamshwa naulizwa vipi wangu hautaki tena nilale,. Tena napata haswa iwe asubuhi mchana au jioni.
Ila huyu B yeye kasoro yake ni wakawaida yaani sio wa kulinga nae mtaani wala mbele ya washkaji,.

Mfano hata wewe msomaji ikitokea wamefata wote basi utamuita B ili akuombee namba ya A wakati kumbe hiyo ndio mali kitandani,.

Je nimchukue yupi kwenye kufanya wa maisha yangu.?
Ondoka na B utanishukuru baadae
 
He Taifa Langu hili kweli?
images (2) (28).jpeg
 
Oa huyo mwenye sura hata ukienda mahali hujishtukii! Huyo anayekupa vitu mob awe mchepuko wa kudumu.
 
Huyo wa kwenye picha ndio mzuri zaidi? Sasa huyo ambae hujatuma picha yake atakuwaje?
 
Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,.
Changamoto yangu ambayo ninahitaji msaada wenu ni kuwa,

Nina wapenzi wawili ambao wate kwa pamoja wanaonyesha kunipenda sana, wananipenda mpaka nimekuwa nashindwa kuelewa niingie na yupi kwenye ndoa na wote wanahitaji niwaoe,.
Shida inakuja kuwa,

MMOJA ni mzuri sana kumtazama machoni pangu na machoni pa watu pia. Yaani akivaa na akiwa anatembea humtoi kasoro. Mfano kwenye picha, ila sasa kasoro yae kitandani hanipi kile ninachohitaji.

Alafu huyu mwengine yeye kitandani ananipa ninachotaka tena mpaka na ziada, nikilala naamshwa naulizwa vipi wangu hautaki tena nilale,. Tena napata haswa iwe asubuhi mchana au jioni.
Ila huyu B yeye kasoro yake ni wakawaida yaani sio wa kulinga nae mtaani wala mbele ya washkaji,.

Mfano hata wewe msomaji ikitokea wamefata wote basi utamuita B ili akuombee namba ya A wakati kumbe hiyo ndio mali kitandani,.

Je nimchukue yupi kwenye kufanya wa maisha yangu.?
Kwa akili hizi miaka 30 ni midogo sana kwako kuingia kwenye ndoa naandika kama mdogo wako tulia tulia angalau ugonge 40 broo.
 
Yaan wanaume wafupi nanyi mmeanza jeuri sikuhizi?! Eti hanipi ninachotaka kitandani ....wee😳 sema kweli! Pesa inakubeba naamini.
Endelea kusasambua utajua anayekustahili
Mfupi, mnene na nyongeza ya weusi na anahisi wanawake wawili wanampenda. Katiba mpya si lazima
 
Back
Top Bottom