Manguli wa mapenzi msaada wa haraka unahitajika kwangu naomba njooni mnisaidie

Ndugu mjumbe umetukosea sana Wajumbe wenzio, imekuwaje utoe picha ya Binti mmoja badala ya wawili??

Btw Kuna mjumbe mmoja hapo juu ameshauri ubadiri Dini ili uweze kuwaoa wote wawili ili upate a complete package uitakayo

Kumbuka mfalme Suleiman amewahi kudate Wanawake 1,000 ila mwishoni akasema yote ni ubaditili

Chagua mmoja mweke ndani, then ufocus na maisha tu
Sawa mkuu
 
Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,.
Changamoto yangu ambayo ninahitaji msaada wenu ni kuwa,

Nina wapenzi wawili ambao wate kwa pamoja wanaonyesha kunipenda sana, wananipenda mpaka nimekuwa nashindwa kuelewa niingie na yupi kwenye ndoa na wote wanahitaji niwaoe,.
Shida inakuja kuwa,

MMOJA ni mzuri sana kumtazama machoni pangu na machoni pa watu pia. Yaani akivaa na akiwa anatembea humtoi kasoro. Mfano kwenye picha, ila sasa kasoro yae kitandani hanipi kile ninachohitaji.

Alafu huyu mwengine yeye kitandani ananipa ninachotaka tena mpaka na ziada, nikilala naamshwa naulizwa vipi wangu hautaki tena nilale,. Tena napata haswa iwe asubuhi mchana au jioni.
Ila huyu B yeye kasoro yake ni wakawaida yaani sio wa kulinga nae mtaani wala mbele ya washkaji,.

Mfano hata wewe msomaji ikitokea wamefata wote basi utamuita B ili akuombee namba ya A wakati kumbe hiyo ndio mali kitandani,.

Je nimchukue yupi kwenye kufanya wa maisha yangu.?
Mke
1:mcha mungu
2:mwenye akili ya maisha/easy to guide
3: kwakua ni mcha mungu hata mavazi yake yatakua ya heshima
4:anaweza asiwe Mtundu kitandani lkn unaweza mfundisha unavyotaka,wengine wakiwa na wapenzi wao hua wanadeka mpk uanzishe wewe mwanaume.
In summary
Anaekupa mapenzi mengi sasa hamtadumu nae kwakua kuna kitu anakitaka Kutoka kwako once ukimuweka ndani atakubadilikia km humjui
 
Kumbe kuna watu mnaakili humu na hamsemi,.

Nilichojifunza kwako ni kuwa hawa wote wawili hawanifai
 
Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,.
Changamoto yangu ambayo ninahitaji msaada wenu ni kuwa,

Nina wapenzi wawili ambao wate kwa pamoja wanaonyesha kunipenda sana, wananipenda mpaka nimekuwa nashindwa kuelewa niingie na yupi kwenye ndoa na wote wanahitaji niwaoe,.
Shida inakuja kuwa,

MMOJA ni mzuri sana kumtazama machoni pangu na machoni pa watu pia. Yaani akivaa na akiwa anatembea humtoi kasoro. Mfano kwenye picha, ila sasa kasoro yae kitandani hanipi kile ninachohitaji.

Alafu huyu mwengine yeye kitandani ananipa ninachotaka tena mpaka na ziada, nikilala naamshwa naulizwa vipi wangu hautaki tena nilale,. Tena napata haswa iwe asubuhi mchana au jioni.
Ila huyu B yeye kasoro yake ni wakawaida yaani sio wa kulinga nae mtaani wala mbele ya washkaji,.

Mfano hata wewe msomaji ikitokea wamefata wote basi utamuita B ili akuombee namba ya A wakati kumbe hiyo ndio mali kitandani,.

Je nimchukue yupi kwenye kufanya wa maisha yangu.?
Kwa hiyo Unataka wa kulinga nae kwa washkaji na sio wa kufanya nae maisha? Sifa zitakuponza. Maisha ni kuridhika wewe mwenyewe, maisha ni yako wewe sio ya washkaji
 
waoe wote wawili ili upate huo mchanganyiko wa muonekano barabarani na ridhiko kitandani.
 
Back
Top Bottom