Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,.
Changamoto yangu ambayo ninahitaji msaada wenu ni kuwa,
Nina wapenzi wawili ambao wate kwa pamoja wanaonyesha kunipenda sana, wananipenda mpaka nimekuwa nashindwa kuelewa niingie na yupi kwenye ndoa na wote wanahitaji niwaoe,.
Shida inakuja kuwa,
MMOJA ni mzuri sana kumtazama machoni pangu na machoni pa watu pia. Yaani akivaa na akiwa anatembea humtoi kasoro. Mfano kwenye picha, ila sasa kasoro yae kitandani hanipi kile ninachohitaji.
Alafu huyu mwengine yeye kitandani ananipa ninachotaka tena mpaka na ziada, nikilala naamshwa naulizwa vipi wangu hautaki tena nilale,. Tena napata haswa iwe asubuhi mchana au jioni.
Ila huyu B yeye kasoro yake ni wakawaida yaani sio wa kulinga nae mtaani wala mbele ya washkaji,.
Mfano hata wewe msomaji ikitokea wamefata wote basi utamuita B ili akuombee namba ya A wakati kumbe hiyo ndio mali kitandani,.
Je nimchukue yupi kwenye kufanya wa maisha yangu.?
Mfupi, mnene na nyongeza ya weusi na anahisi wanawake wawili wanampenda. Katiba mpya si lazima
Wala hatuna matatizoIla nyie mbilikimo mna matatizo sana.
Kimombo mzeeHapo unabidi uangalie zile sifa ambazo hazina uhusiano na ngono ?
Sex ni adaptability everyone can pretend to be nice on her bed
So kuwa makini maana katika kuoa
Huyo mwanamke unaemuoa anaenda kubeba majukumu kama haya
Mama wa watoto wako
Mshauri wako
Mkono wako wa tatu (third hand)
So it is better to be logical in making a choice when to come in marriage issue.
Kimombo mzee
Sample yako bado ni ndogo sana. Yaani una wanawake wawili tu ndio unataka uchague mke? Sasa hapo unachagua nini? Ulitakiwa uwe nao angalao 6 - 10 hapo ndio unaweza kufanya uchaguzi! Vigezo vya kuangalia ni vingi sana huwezi kuvipata kwa watu wawili. Ongeza sample acha uzembe.
🤣🤣🤣Yaan wanaume wafupi nanyi mmeanza jeuri sikuhizi?! Eti hanipi ninachotaka kitandani ....wee😳 sema kweli! Pesa inakubeba naamini.
Endelea kusasambua utajua anayekustahili
😂😂😂Mfupi, mweusi, mnene kidogo.. sampuli ya wanaume wa aina hii wanasumbukaga sana kupata wanawake!
Nononononoooo!Huyounayesema anakupa hadi ziada unamaanisha anakupa mku**ndu? au?
Hii mbinu ya sarafu huwa naitumiaga kwenye matukio yangu flaniChukua shilingi 500
Mwenge - mwanamke mrembo
Bichwa - mzuri kitandani
Rusha juu kabla hujaidaka yule mwanamke ambae unatamani umkute ameshinda kwenye shilingi ndo huyo huyo mkeo oa!
When you're not sure, flip a coin. Because when the coin is in the air you'll realize which one you're actually hoping for.❞
Acha mambo hayo😊
Wawili tu wanamtoa jasho hadi uzi JF...
Akiwa nao 6 tutamkuta Clouds kipindi cha njia panda...
Wewe unanifundisha uhuniSample yako bado ni ndogo sana. Yaani una wanawake wawili tu ndio unataka uchague mke? Sasa hapo unachagua nini? Ulitakiwa uwe nao angalao 6 - 10 hapo ndio unaweza kufanya uchaguzi! Vigezo vya kuangalia ni vingi sana huwezi kuvipata kwa watu wawili. Ongeza sample acha uzembe.
Kabisa, aseme asemee yuko wapi.....😹😹Kwani yupo wapi kwanza😂😂
😂Ndio uufanye na ufaulu.....
😀😀Yaan wanaume wafupi nanyi mmeanza jeuri sikuhizi?! Eti hanipi ninachotaka kitandani ....wee😳 sema kweli! Pesa inakubeba naamini.
Endelea kusasambua utajua anayekustahili
......hii ilikuwa na haja gani kwenye hii uzi!!!ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,.