johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wassira Ndiye anajua Siasa kuliko hao wengine woteHuyo Mzee Wasira asije akakufia hapo Studio maana huqa anaongea kwa Mihemuko zaidi kuliko logic.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wassira Ndiye anajua Siasa kuliko hao wengine woteHuyo Mzee Wasira asije akakufia hapo Studio maana huqa anaongea kwa Mihemuko zaidi kuliko logic.
Nyimbo kwenye masikio yenu, hajui lolote zaidi ya kupiga vijembe kama Demu.Wassira Ndiye anajua Siasa kuliko hao wengine wote
Sasa Chadema kwa Wassira ni wachumba tu japokuwa Wewe ni CCM Huko umesombwa na Mashemeji tu wa Uchaggani!Nyimbo kwenye masikio yenu, hajui lolote zaidi ya kupiga vijembe kama Demu.
CHADEMA Damu Damu 💪 People's Power!!😎Sasa Chadema kwa Wassira ni wachumba tu japokuwa Wewe ni CCM Huko umesombwa na Mashemeji tu wa Uchaggani!
Kwako tu, kwangu CCM ni genge la wahuni walijimilikisha nchi yetu, lazima tuwatemeshe Minofu iliyo mashavuni nwaoCCM ni km maji ndugu huwezi ikwepa.
👊👊Kwako tu, kwangu CCM ni genge la wahuni walijimilikisha nchi yetu, lazima tuwatemeshe Minofu iliyo mashavuni nwao
Kuyasema majizi ya kura siku hizi ni kutukana. Cha ajabu hayo majizi ya kura yanaamini yanaheshima!Atachukuaje wavuta bangi aina ya Mdude Nyagali kumpeleka kwenye kipindi kitakacho sikilizwa na watu wenye hekima na busara zao.nani anataka kukaa kusikiliza Mdude akitukana matusi kama kichaa au mwendawazimu?
Wanabodi Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025
View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_
View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V
View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn
View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh
View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z
View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX
View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU Usikose!. Paskali
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee
Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025
View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_
View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V
View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn
View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh
View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z
View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX
View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU
Usikose!.
Paskali
Mdude namfahamu vyema sana.alikuwa anaishi mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi mji wa Vwawa. Nachokuambia ndio ukweli wenyewe kuwa Mdude kichwa chake kilishajaa moshi wa Bangi tuuu.
Bila Dr Mdude, mh Tundu Antipas Lisu na Wakili msomi Mwabukusi hamna la maana hapo
Magufuli: Watanzania siyo Wajinga
Asante sana Mkuu Dr Akili, Channel Ten ni kwa kuanzia tuu, target ni 5 TV Stations, TBC, ITV, Azam TV, Channel Ten na Star TV.Umemsahau Mzee Joseph Butiku, Mzee Sinde Waryoba na Mzee Freeman Mbowe. Ili kupata viewers wengi zaidi washawishi Azam TV nao warushe vipindi hivyo kwa muda na siku muafaka kwao. Ni wazo zuri ambalo baadaye utawaalika pia pia watu kama Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu.
Pia usiache kutupia link ya vipindi hivyo huku Jf forums
Kuyasema majizi ya kura siku hizi ni kutukana. Cha ajabu hayo majizi ya kura yanaamini yanaheshima!
'The Ministry of Truth: A Biography of George Orwell's "1984"
Nakumbuka kipindi cha KITIMOTO kule DTV sijuiChannel 10 ni CCM ukumbuke, Wageni wanaratibiwa na Chama
Hiki kipindi angefanyia Star tv, Diallo hanaga mbambamba japo ni CCM
Sikuwa na ya ziada, na nafikiri maneno yako hayo juu yamejitosheleza.Hongera sana kwa kuandaa hiyo program maana sio rahisi kuwapata hao watu, labda na wewe uwe mtu katika WATU.
Duh...!.The invitees are as boring as yourself. Pathetic.