Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!

Naamini umeusikiliza wimbo wa Lady Jaydee unaoongelea fursa na umeutimia vyema. Kwako ni wakati mzuri wa kutengeneza maokoto kwani ni msimu wa maokoto kuelekea 2025!
Usitusahau wahenga, hata ya bando napokea. Hongera P.ila hiyo channel 10 sijawahi kuyasumbua macho yangu kuiangalia!
 
Atachukuaje wavuta bangi aina ya Mdude Nyagali kumpeleka kwenye kipindi kitakacho sikilizwa na watu wenye hekima na busara zao.nani anataka kukaa kusikiliza Mdude akitukana matusi kama kichaa au mwendawazimu?
Kuyasema majizi ya kura siku hizi ni kutukana. Cha ajabu hayo majizi ya kura yanaamini yanaheshima!
 
Umemsahau Mzee Joseph Butiku, Mzee Sinde Waryoba na Mzee Freeman Mbowe. Ili kupata viewers wengi zaidi washawishi Azam TV nao warushe vipindi hivyo kwa muda na siku muafaka kwao. Ni wazo zuri ambalo baadaye utawaalika pia pia watu kama Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu.

Pia usiache kutupia link ya vipindi hivyo huku Jf forums
 
 
Mdude namfahamu vyema sana.alikuwa anaishi mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi mji wa Vwawa. Nachokuambia ndio ukweli wenyewe kuwa Mdude kichwa chake kilishajaa moshi wa Bangi tuuu.
 
Asante sana Mkuu Dr Akili, Channel Ten ni kwa kuanzia tuu, target ni 5 TV Stations, TBC, ITV, Azam TV, Channel Ten na Star TV.

Nitawaleta wote hao.
P
 
Kuyasema majizi ya kura siku hizi ni kutukana. Cha ajabu hayo majizi ya kura yanaamini yanaheshima!

Kweli kabisa channelTen watakuja na msamiati wa maneno kwa kutumia kamusi yao maalum ya lugha ya kiswahili iliyoandaliwa mtaa wa Lumumba Ofisi ndogo ya CCM wataipeleka hapo jirani maana wapo mtaa mmoja na Channel Ten

Serikali ya CCM inahagaika sana kujisafisha inakumbusha kazi ya mtunzi wa riwaya George Orwell na kitabu chake maarufu duniani kiendacho kwa jina 1984 ambapo kuna wizara ya ukweli.

Ni nini kinashangaza kuhusu jina la Wizara ya Ukweli? (ya CCM) itakayowaleta waziri Stephen Wassira, katibu John Cheyo na mkurugenzi Zitto Kabwe na kwenu wananchi kupitia kituo cha Channel Ten siku ya jumapili usiku muda kuanzia saa 3 usiku kuzungumzia HAKI

Wizara kubwa na muhimu kupita zote ni Wizara ya Ukweli. Hapa ndipo Winston (kinara waziri Wassira) anafanya kazi. Kinachoshangaza ni kwamba, Wizara ya Ukweli imejikita katika kuunda uwongo. Wafanyikazi katika idara ya Winston hutumia siku yao kubadilisha rekodi za kihistoria ili ziakisi chochote kinachotokea wakati huo .


Je, kazi ya Winston kada wa chama katika nukuu ya Wizara ya Ukweli ni ipi?
Winston anaenda kufanya kazi katika idara ya kumbukumbu ya Wizara ya Ukweli. Anakaa kwenye meza yake, akiangalia maandishi yake, mashine ambayo huandika kile anachozungumza ndani yake. Kazi yake ni kusasisha taarifa zozote za maandishi ambazo zimethibitishwa kuwa si sahihi au zenye madhara kwa Chama - George Orwell 1984



Je, Wizara ya Ukweli inatumia msemo gani? Wizara ya Ukweli ina kauli mbiu tatu: "Vita ni Amani," "Uhuru ni Utumwa," na "Ujinga ni Nguvu." Mistari hii mitatu imeandikwa nje ya jengo ya Ofisi Ndogo ya Chama mtaa wa Lumumba . - George Orwell


George Orwell :

Je, ni nukuu gani kuhusu ukweli na uongo George Orwell 1984?
"Na ikiwa wengine wote walikubali uwongo ambao Chama kiliweka - ikiwa rekodi zote zilisema hadithi moja - basi uwongo huo ulipitishwa katika historia na kuwa ukweli. 'Ni nani anayedhibiti yaliyopita' aliendesha kauli mbiu ya Chama, 'anadhibiti siku zijazo: ni nani anayedhibiti sasa anadhibiti yaliyopita. '” - George Orwell

'The Ministry of Truth: A Biography of George Orwell's "1984"
 
Hongera sana kwa kuandaa hiyo program maana sio rahisi kuwapata hao watu, labda na wewe uwe mtu katika WATU.
Sikuwa na ya ziada, na nafikiri maneno yako hayo juu yamejitosheleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…