Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!


Hichi kipindi sitakiamimi Sana. Kimekaa kinafiki
 
Hao vibaraka nani anataka kuwasikia. Duniani kuna wehu ila CHADOMO wamezidi. Eti Lema mwenyekiti wa kanda? Jambazi, mvuta bangi tunayemfahamu.

Mbona wewe ndio unaonekana mvuta bangi. Maana maneno yako yanaonesha Moshi wa bangi umekuadhiri.
 
Channel ten+CCM huko waungwana hakutuhusu wanafiki na wazandiki ndio Pahala Pao halafu Mzee momose sio mwenyekiti wa DP badilisha ni mwenyekiti wa UDP
 
Mbona Chadema hujawaalika kabisa ? Au wamesusa mwaliko ?

econonist JokaKuu Tindo Bams zitto junior
 
Mbona HalimaM Mdee hajaalikwa?
 
Akimualika Lissu alafu achafue hali ya hewa, Itamgharimu zaidi Paskali.
 
Hichi kipindi ili kiendeleee kurushwa kwenye channel ten, ni lazima waalikwa wawe machawa wa mama Samiah. Maana yeye ndio mmiliki wa hiyio Channel ten
 
Mbona HalimaM Mdee hajaalikwa?
Ataalikwa tena nitawaalika wote 19, watuambie barua yao aliandika nani, alisaini nani, na ali stamp nani?, maana barua ya uteuzi kutoka Chadema kwenda NEC ni bona-fide genuine!.
P
 
Ataalikwa tena nitawaalika wote 19, watuambie barua yao aliandika nani, alisaini nani, na ali stamp nani?, maana barua ya uteuzi kutoka Chadema kwenda NEC ni bona-fide genuine!.
P
Hahaha

Dr.P acha masihara.


Walighushi barua wakasaidiwa na mfumo wa goverment
Wabunge wale 19 ni kielelezo cha kukosekana utawala wa sheria.

Iwapo serikali iliweza kughushi nyaraka za Mdee je wanashindwaje kughushi nyaraka zingine katika kuiba mali ya umma.

Jambo linalofanya Tanzania kuendelea kuwa maskini ni kukosekana utawqla wa sheria. KUNA watu wapo juu ya sheria na wengine chini ya sheria.

Ukiwa kapuku ukikutwa na nyama ya swala ni miaka 22 jela ila ukiwa unacho unaweza kushughi nyaraka na kuendelea kujichotea mamilioni ya pesa za walala hoi kama mbunge.

Uwepo wa Mdee Bungeni ni kielelezo cha uchafuzi uliofanyika wakati wa uchguzi wa 2020. WANACHI hawakupewa fursa kutunia kura zao kuchagua viongozi wao.

Ni kama nchi ipo katika ukoloni baada ya kupata uhuru 1961.
 
Sasa mbona walioitwa wote ni MACHAWA? Maana ktk hao wote hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kumkosoa hangaya
 
Hahaha

Dr.P acha masihara.

Walighushi barua,
Ni kama nchi ipo katika ukoloni baada ya kupata uhuru 1961.
Kughushi ni kosa la jinai, kama kuna any criminal liabilities, Chadema should have known what to do!. Haki haitekelezwi kwa hisia, bali kwa facts supported by evidence!.

Kama unahisi walifoji, kwanini usiwaripoti?. Barua ya uteuzi hujaiona kujiridhisha ni forgery, unawafutaje uanachama bila kuwasikiliza, bila ushahidi wowote?!.
P
 
Mahakama zetu si unazijua lakini mkiuu?
Mahakama bado ni tatizo.

Lakini uamuzi wa mahakama ulisharidhia Mdee na wenzake 19 kufukuzwa na kamati kuu.

Suala la Mdee ni kituko katika bunge letu.Tusilifanyie mdhaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…