Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!

Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!

Kipindi hakitakuwa na mvuto.
Don't assume, kipindi kita bore, angalia program ya wiki iliyopita,

View: https://youtu.be/VZlHxInJWfI?si=jpu7EpmZDAj6CBff
The lineup ni watu very interesting and high profile people!.
  1. Rais Samia- CCM
  2. Prof. Lipumba -CUF
  3. Askofu Mwamakula - Dini
  4. Wallece Mayunga- ADC
  5. Ali Omar Juma - Chauma
  6. Juma Duni - ACT Wazalendo
  7. Abdul Nondo- ACT Wazalendo
Leo Saa 3 usiku angalia kipindi,
Lineup ya leo ni hii ambao ina very interesting people and high profile personalities.
  1. Mwenyekiti wa Chama cha UDP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa",
  2. Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira,
  3. Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe
  4. Dorothy Semu wa ACT Wazalendo,
  5. Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah,
  6. Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian
  7. Pascal Mayalla
P
 
Don't assume, itakuwa ina bore, angalia program ya wiki iliyopita,

View: https://youtu.be/VZlHxInJWfI?si=jpu7EpmZDAj6CBff
The lineup ni watu very interesting people.
  1. Rais Samia- CCM
  2. Prof. Lipumba -CUF
  3. Askofu Mwamakula - Dini
  4. Wallece Mayunga- ADC
  5. Ali Omar Juma - Chauma
  6. Juma Duni - ACT Wazalendo
  7. Abdul Nondo- ACT Wazalendo
Leo Saa 3 usiku angalia kipindi,
LLineup ya leo ni hii ambao ni very interesting people and high profile personalities.
  1. Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa",
  2. Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira,
  3. Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe
  4. Dorothy Semu wa ACT Wazalendo,
  5. Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah,
  6. Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian
  7. Pascal Mayalla
P

Ongeza wafuatao
1. Mh.Joseph Sinde Warioba
2. PROFESA Anne Tibaijuka
3.JENERALI Ulimwengu
4. CAG Assad
5.John Mnyika
6.Mzee Butiku
7.Dr Sllaaa
 
Mdude namfahamu vyema sana.alikuwa anaishi mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi mji wa Vwawa. Nachokuambia ndio ukweli wenyewe kuwa Mdude kichwa chake kilishajaa moshi wa Bangi tuuu.
Kwanini usiende polisi kutoa taarifa,maana uvutaji bangi ni kosa kisheria.Hiyo itakua njia nzuri ya kumsaidia Mdude na wanajamii wengine,au polisi wenyewe wangekuita,ili uwasaidie katika kutoa ushahidi mahakamani.Fanya hivyo mkuu.
 
Don't assume, kipindi kita bore, angalia program ya wiki iliyopita,

View: https://youtu.be/VZlHxInJWfI?si=jpu7EpmZDAj6CBff
The lineup ni watu very interesting and high profile people!.
  1. Rais Samia- CCM
  2. Prof. Lipumba -CUF
  3. Askofu Mwamakula - Dini
  4. Wallece Mayunga- ADC
  5. Ali Omar Juma - Chauma
  6. Juma Duni - ACT Wazalendo
  7. Abdul Nondo- ACT Wazalendo
Leo Saa 3 usiku angalia kipindi,
Lineup ya leo ni hii ambao ina very interesting people and high profile personalities.
  1. Mwenyekiti wa Chama cha UDP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa",
  2. Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira,
  3. Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe
  4. Dorothy Semu wa ACT Wazalendo,
  5. Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah,
  6. Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian
  7. Pascal Mayalla
P

Chadema wametoswa kabisa kwenye hiyo 'line up' huku wakiwa chama kikuu cha upinzani.... anyway sababu nazifahamu.
 
Chadema wametoswa kabisa kwenye hiyo 'line up' huku wakiwa chama kikuu cha upinzani.... anyway sababu nazifahamu.
Kwa vile huu ni mwanzo tuu, nitawatafuta Chadema in due time
P
 
Chadema wametoswa kabisa kwenye hiyo 'line up' huku wakiwa chama kikuu cha upinzani.... anyway sababu nazifahamu.
1. It's true Chadema ndio chama kikuu cha upinzani, they should have been there as part and parcel of this, lakini hawapo kwa sababu, kama hizo sababu unazifahamu na jf ni sharing forum, kama they are sharable, please share!.
Aaah wapi !....Yaani chama kikuu cha upinzani unakiweka kiporo kwenye mada muhimu kama hizo ?.....tunajua unachokikwepa.
Mimi I'm always open and transparent, kama unakijua ninachokikwepa na ni sharable, please just share!.
P
 
Paskal. Maada nyengine waachie watoto wapost. Zinakuvunjia heshima
Njaa inamtia upofu!! You cannot have any fruitful political discussion affecting the nation when you deliberately exclude the leading opposition party!!
Huyo Lipumba ana following gani hapa nchini? Huyo John Cheyo na saccos yake ana following gani hapa nchini? Wasira at his age, he is senile what contribution do you expect from such a person to move the country forward? Dunia iko kwenye AI Leo unawaleta wakina Wassira na Cheyo wasiojua hata kubonyeza key board!!
You are wasting the country’s resources because of your lack of objectivity!
 
1. It's true Chadema ndio chama kikuu cha upinzani, they should have been there as part and parcel of this, lakini hawapo kwa sababu, kama hizo sababu unazifahamu na jf ni sharing forum, kama they are sharable, please share!.

Mimi I'm always open and transparent, kama unakijua ninachokikwepa na ni sharable, please just share!.
P
Unaogopa Chadema ukosoaji wao utawakera Ccm na serikali hivyo utapata kibano kama enzi zile.
 
1. It's true Chadema ndio chama kikuu cha upinzani, they should have been there as part and parcel of this, lakini hawapo kwa sababu, kama hizo sababu unazifahamu na jf ni sharing forum, kama they are sharable, please share!.

Mimi I'm always open and transparent, kama unakijua ninachokikwepa na ni sharable, please just share!.
P
Hichi kipindi kipo ili kufanya 'white washing' kwa huu utawala na hao waalikwa wamewekwa hapo kimkakati, hakutakuwa na 'constructive criticism' yeyote hapo.
 
Njaa inamtia upofu!! You cannot have any fruitful political discussion affecting the nation when you deliberately exclude the leading opposition party!!
Huyo Lipumba ana following gani hapa nchini? Huyo John Cheyo na saccos yake ana following gani hapa nchini? Wasira at his age, he is senile what contribution do you expect from such a person to move the country forward?
You are wasting the country’s resources because of your lack of objectivity!
Jamaa amewaalika hao wapinzani ila kakitosa chama kikuu cha upinzani kwa sababu zinazoeleweka kabisa hasa kuonyesha Chadema si lolote wala chochote ni sawa sawa na ile mikutano ya wanaojiita 'wadau wa demokrasia' iliyofanyika bila uwepo wa Uwakilishi wa chama kikuu cha upinzani.
 
30 December 2023
SHIDA YA CCM NA SERIKALI YAKE YACHAMBULIWA NA WANANCHI MTAANI

View: https://m.youtube.com/watch?v=05SbQcbChKI

Hali ngumu ya maisha, kilimo kikubwa, miundombinu mibovu, hatujachagua viongozi wetu, hatuna viongozi wanaotetea wananchi na serikali haiwazi kwa ajili ya taifa na wananchi, kumejaa chawa, vipaumbele hakuna ....
 
1. It's true Chadema ndio chama kikuu cha upinzani, they should have been there as part and parcel of this, lakini hawapo kwa sababu, kama hizo sababu unazifahamu na jf ni sharing forum, kama they are sharable, please share!.

Mimi I'm always open and transparent, kama unakijua ninachokikwepa na ni sharable, please just share!.
P
You are a hypocrite in the true sense of the word. You are pretending that you do not know why the likes of Tundu Lissu , Ulimwengu , Shivji Tibaijuka etc are not in the list of the discussant. It was not an accident that your fellow Msukuma the late Magufuli called you "NJAA." PATHETIC
 
You are pretending that you do not know why the likes of Tundu Lissu , Ulimwengu , Shivji Tibaijuka etc are not in the list of the discussant.
I don't pretend that I do not know why the likes of Tundu Lissu , Ulimwengu , Shivji Tibaijuka etc are not in the list of the discussant, I know because it's me who pinpoint who will be interviewed. You can invites everybody at the same time, but every key person will eventually be invited.
It was not an accident that your fellow Msukuma the late Magufuli called you "NJAA." PATHETIC
It's not, but he who laugh last, laugh most!. Kati ya mwenye njaa na aliyeshiba, nani yupo?.
P
 
Wanabodi

Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee

Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025

View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_

View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V

View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn

View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh

View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z

View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX

View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU

Usikose!.

Paskali

Naona umetafuta wasifia serikali....siku ingine tafuta watu wenye akili timamu wasio na njaa
 
FUNGA MWAKA 2023
WAKILI MWABUKUSI ACHAMBUA HALI YA KISIASA, KIUCHUMI, KIJAMII NA PIA NAFASI YA DEMOKRASIA KTK MEDIA BILA KUSAHAU VYUO VYA ELIMU YA JUU

View: https://m.youtube.com/watch?v=qyzV6iw_xH8
Wakili msomi Boniface Mwabukusi asema " vituo vya televisheni vilinikimbia nikawauliza mabosi wahariri vipi mnatimka mbio huku mkitoa sababu kibao, wahariri wakasema tungependa kuja lakini tunaogopa wakubwa" ......

Vyuo Vikuu vya elimu ya juu vimepooza kazi kutoa wahitimu mapooza, walio machawa wa viongozi huku wakitumai kuwa watapewa vyeo anasikitika wakili msomi akiliangalia taifa la Tanzania na watu wake...

Vyombo vya online, wakilli msomi Boniface Mwabukusi avipa maua yake na kusema hivi baadhi yao vimefanya kazi nzuri sana kupita vituo vya radio na televisheni vyenye bajeti kubwa na msururu wa ma editor wasomi.

Siku hizi wananchi na hata viongozi wa hii hii serikali ya kibabe huwa wanachungulia na kuviamini vyombo vidogo vya online TV na mitandao ya kijamii kupata habari za kina na za uhakika.

Viongozi hao wa serikali na chama tawala wanakubali wenyewe kuliko kupoteza muda kuangalia vipindi vya habari na midahalo ktk vituo vikubwa ambavyo kiuhalisia ni zana za propaganda wanavyovifadhili na kuvipa bajeti nono kupitia serikali na chama tawala .... bora waanze siku yao kwa kuchungulia online TV na mitandao michache tajwa vinahabari na uchambuzi gani ..
 
Nafikiri watu wengi tuna HARAKA sana au USHABIKI umetujaa. Huyu Pascal Mayala ni mwanahabari kaja na idea yake. Siyo mpya lakini tukumbuke ndiyo kwanza ANAANZA. Sasa sidhani kama HATA KATIKATI kesha fika, Tayari tumeanza kumkosoa kwa sababu watu tuwapendao hajawaita, Jamani mtaharibu ladha ya kipindi chenyewe.
Na ISINGEWEZEKANA kwamba woote tuwapendao wawepo siku ya kwanza kipindi kinarushwa hewani.

Mgekuwa na subira kipindi kinoge kwanza kisha muombe awaletee hao manguli muwatakao. Na ikiwa kipindi ni endelevu inakuwaje mmeanza kuwa na mashaka kwamba anakwepa kuwaletea muwatakao? Mumpe muda aandae script au maswali mazuri ya kuwauliza hao mashujaa au nguli muwatakao. Nielewavyo mimi, ukiwaita halafu ukawauliza maswali RAHISI yasiyo na msisimko, pia unapoteza radha ya kipindi chako.

Kipindi kinaweza kuwa mara moja kwa wiki lakini ukawa unaalika watu wawatakao na ukawauliza maswali magumu, yani size yao. Kipindi kinakuwa na radha hasa kwa wapenzi wa siasa hizo.

Kwasasa mge-mpa Pascal Mayala muda wa kuwaalika, wakubali mualiko, naye ajiandae na maswali kutakana na mualikwa kwenye kipindi. Vipindi kama hivi sio vya kuwa na maswali yale yale kwa kila mualikwa, kwa sababu kila mualikwa ana tofauti na wenzake hasa kwenye maswala ya kisiasa. Sikatai kuna maswali wote wanaweza kuulizwa lakini ni vyema, kila mualikwa akawa na maswali yake na yawe magumu kuweka chachu kwenye kipindi. One size fit all ina weza kuharibu.

Anyway kazi nzuri na hongera sana, nafahamu haya ni maisha usichoke hakuna kitu rahisi humu duniani. Heri ya mwaka mpya.
 
Nafikiri watu wengi tuna HARAKA sana au USHABIKI umetujaa. Huyu Pascal Mayala ni mwanahabari kaja na idea yake. Siyo mpya lakini tukumbuke ndiyo kwanza ANAANZA. Sasa sidhani kama HATA KATIKATI kesha fika, Tayari tumeanza kumkosoa kwa sababu watu tuwapendao hajawaita, Jamani mtaharibu ladha ya kipindi chenyewe.
Na ISINGEWEZEKANA kwamba woote tuwapendao wawepo siku ya kwanza kipindi kinarushwa hewani.

Mgekuwa na subira kipindo kinoge kwanza kisha muombe awaletee hao manguli muwatakao. Na ikiwa kipindi ni endelevu inakuwaje mmeanza kuwa na mashaka kwamba anakwepa kuwaletea muwatakao? Mumpe muda aandae script au maswali mazuri ya kuwauliza hao mashujaa au nguli muwatakao. Nielewavyo mimi, ukiwaita halafu ukawauliza maswali RAHISI yasiyo na msisimko, pia unapoteza radha ya kipindi chako.

Kipindi kinaweza kuwa mara moja kwa wiki lakini ukawa unaalika watu wawatakao na ukawauliza maswali magumu, yani size yao. Kipindi kinakuwa na radha hasa kwa wapenzi wa siasa hizo.

Kwasasa mge-mpa Pascal Mayala muda wa kuwaalika, wakubali mualiko, naye ajiandae na maswali kutakana na mualikwa kwenye kipindi. Vipindi kama hivi sio vya kuwa na maswali yale yale kwa kila mualikwa, kwa sababu kila mualikwa ana tofauti na wenzake hasa kwenye maswala ya kisiasa. Sikatai kuna maswali wote wanaweza kuulizwa lakini ni vyema, kila mualikwa akawa na maswali yake na yawe magumu kuweka chachu kwenye kipindi. One size fit all ina weza kuharibu.

Anyway kazi nzuri na hongera sana, nafahamu haya ni maisha usichoke hakuna kitu rahisi humu duniani. Heri ya mwaka mpya.
MKUU Nanye Go, thank you make my day, ushauri wako nimeupokea.
Happy New Year!
P
 
Back
Top Bottom