You are welcome and thank you. Keep up the good work, and God bless you for all you do. Happy new year again.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are welcome and thank you. Keep up the good work, and God bless you for all you do. Happy new year again.
sijui kama unaelewa unachosema- ua unaongela JAMBO ON LINE TVChannel 10 ni CCM ukumbuke, Wageni wanaratibiwa na Chama
Hiki kipindi angefanyia Star tv, Diallo hanaga mbambamba japo ni CCM
Akimualika Lissu alafu achafue hali ya hewa, Itamgharimu zaidi Paskali.
Mkuu JokaKuu , nia njema unaipimia wapi, ili uamue huyu nimwalike na huyu hapana nisimwalike?, kazi yetu sisi waandishi wa habari ni kama dereva taxi, wote ni abiria wangu!, naalika watu wote bila ubaguzi...kama anamuogopa Tundu Lissu basi amualike John Mnyika, Bob Chacha Wangwe, au Deus Kibamba, watu ambao wana uelewa na masuala ya Katiba na Sheria za uchaguzi.
..sio sahihi kualika watu ambao hawana nia njema na harakati za kuleta mabadiliko ya kweli ya demokrasia hapa Tanzania.
Mbona waalikwa wote nI wa CCMHongera sana kwa kuandaa hiyo program maana sio rahisi kuwapata hao watu, labda na wewe uwe mtu katika WATU.
Mkuu JokaKuu , nia njema unaipimia wapi, ili uamue huyu nimwalike na huyu hapana nisimwalike?, kazi yetu sisi waandishi wa habari ni kama dereva taxi, wote ni abiria wangu!, naalika watu wote bila ubaguzi.
P
Sasa na wewe Yohana Mbatizaji kwenye Chombo cha Habari cha CCM Dk. Mdude na Lissu wanakuja kufanya nini? Si watatuvuruga tu!?Bila Dr Mdude, mh Tundu Antipas Lisu na Wakili msomi Mwabukusi hamna la maana hapo
Magufuli: Watanzania siyo Wajinga
Pasco mwenyewe ni “KADA”Mbona waalikwa wote nI wa CCM
Zitto ndiyo hivyo tena. Level yake ni kina Wasira na Cheyo, vibabu vilivyozeekea kwenye siasa bila kufanya lolote.Halafu bado nikae kwa tv kuwasikiliza ,hawa sidhani kama wana jipya
Pasco ni mchumia tumbo ambaye mishipa ya aibu ilishakatika.Pasco mwenyewe ni “KADA”
Hawana uelewa huo unaosema- wamesoma na kukariri katiba ya Tanzania ya 1977 ila sayansi ya katiba hawaijui. Chulia mfano- kesi yao na wale wnanwali 19imeonyesha matobo kwenye katiba ya CHADEMA; wangekuwa wanajua sayansi ya katiba wala hilo lisingetokea...kama anamuogopa Tundu Lissu basi amualike John Mnyika, Bob Chacha Wangwe, au Deus Kibamba, watu ambao wana uelewa na masuala ya Katiba na Sheria za uchaguzi.
..sio sahihi kualika watu ambao hawana nia njema na harakati za kuleta mabadiliko ya kweli ya demokrasia hapa Tanzania.
Hawana uelewa huo unaosema- wamesoma na kukariri katiba ya Tanzania ya 1977 ila sayansi ya katiba hawaijui. Chulia mfano- kesi yao na wale wnanwali 19imeonyesha matobo kwenye katiba ya CHADEMA; wangekuwa wanajua sayansi ya katiba wala hilo lisingetokea.
Hawana uelewa huo unaosema- wamesoma na kukariri katiba ya Tanzania ya 1977 ila sayansi ya katiba hawaijui. Chulia mfano- kesi yao na wale wnanwali 19imeonyesha matobo kwenye katiba ya CHADEMA; wangekuwa wanajua sayasi ya katiba wala hilo lisingetokea..kama anamuogopa Tundu Lissu basi amualike John Mnyika, Bob Chacha Wangwe, au Deus Kibamba, watu ambao wana uelewa na masuala ya Katiba na Sheria za uchaguzi.
..sio sahihi kualika watu ambao hawana nia njema na harakati za kuleta mabadiliko ya kweli ya demokrasia hapa Tanzania.
Mkuu kama unaweza ondoa hii post- maana inadhalilisha uelewa wako wakati wewe ni mtu muelewa. Yaani unakiri kuwa kwenye watu 400 wapo watu 4 ambao siyo sahihi kuwepo halafu unataka uamuzi wao uwe sahihi?..Jaji ameboronga ktk hukumu ya kina Halima Mdee.
..Kamati Kuu ya Cdm ina wajumbe kama 30. Baraza Kuu lina wajumbe 400+.
..Sio sahihi kusema maamuzi yanayofanyika kwa KURA ktk Baraza kuu yanaathiriwa na ushiriki wa wajumbe wa kamati kuu.
..Jaji anataka Baraza Kuu la Chadema liketi bila uwepo wa wajumbe wa Kamati Kuu na kufanya maamuzi.
..Sasa ushauri wa Jaji ukifuatwa Katiba ya Chadema itakuwa imekiukwa na kunaweza kumbuka kesi nyingine kwamba kina Halima wamefukuzwa kinyume na katiba ya chama.
Hawana uelewa huo unaosema- wamesoma na kukariri katiba ya Tanzania ya 1977 ila sayansi ya katiba hawaijui. Chulia mfano- kesi yao na wale wnanwali 19imeonyesha matobo kwenye katiba ya CHADEMA; wangekuwa wanajua sayasi ya katiba wala hilo lisingetokea
Mkuu kama unaweza ondoa hii post- maana inadhalilisha uelewa wako wakati wewe ni mtu muelewa. Yaani unakiri kuwa kwenye watu 400 wapo watu 4 ambao siyo sahihi kuwepo halafu unataka uamuzi wao uwe sahihi?
Nitty-gritty..Nimekwambia Jaji ameboronga ile hukumu.
..kitu anachopendekeza kifanyike ni kinyume na katiba ya Chadema.
..katiba ya Chadema inaelekeza kwamba wajumbe wa kamati kuu ni sehemu ya wajumbe wa Baraza kuu.
..ukiitisha Baraza kuu la Chadema bila uwepo wa wajumbe wa kamati kuu unakuwa umekiuka katiba ya chama.
..ukiacha hilo unaweza kuangalia jinsi kura zilivyopigwa. Tatizo lingekuwepo kama kura ya maamuzi ingekuwa too close against of for Halima na wenzake.
..Hata Jaji angeamua kuwa kura za wajumbe wa kamati kuu ni batili bado uamuzi wa kuwafukuza kina Halima ungepita.
Cc Erythrocyte , Nguruvi3
Mkuu kirengased, duh...!Weka watu wenyeukinzani wa hoja tupate madamoto ndugu Sasa unaweka hao ccm B na Ccm A ili tupate Ccm C au?? Sema nawewe ni Ccm grade F unatafuta upenyo maana 2025 imekaribia, pambana pasiko njaa tangaza njaa nawewe ufaidi kodizetu maana umesotaga jamaaetu
Naunga mkono hoja, kiukweli tuna tatizo kubwa sana na wanasheria majanga kwenye mihimili yote, serikali inatunga muswada wa sheria batili, Bunge linaitunga kuwa sheria. Mahakama inashindwa kutafsiri katiba!, kati ya wanasheria majanga wote, madhara kakubwa ni majaji!, Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?Nitty-gritty
Jaji aliboronga sana hakuna utetezi mwingine utakaosafisha hilo.
Jaji alitakiwa kutafsiri katiba ya Chadema, si kupanga nini kiandikwe nini kilikosewa na nini kirekebishwe.
Katiba iliridhiwa na Wanachama kama mwongozo wao na akina Halima ambao ni Wanasheria wanajua hilo.
Hakuna mwanachama aliyewahi kulalamika kuhusu uwezekano wa kutotendewa haki
Pili,Katiba imeridhiwa na Msajili wa Vyama kwamba inakidhi haja ya Chama cha Siasa. Jaji alitakiwa aelewe hilo
Tatu, Jaji alitakiwa kutumia busara (Professional judgement) katika hukumu jambo linaloruhusiwa.
Niliwahi kuona uchaguzi mmoja nchi za wenzetu kulikuwa na malalamiko ya kura katika baadhi ya vituo.
Jaji alikubali kulikuwa na ukiukwaji katika vituo hivyo , akasema matokeo ya vituo vilivyolalmikiwa yasingeweza kubadili matokeo ya jumla, kwahiyo, kwa maoni yake mshindi alikuwa halali.
Je, wajumbe wa CC Chadema wangeweza kubadili msimamo wa Baraza kuu kwa kura!