Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!

Wakili msomi Raphael Japhet Ngonde aichambua kwa undani Miswada 3 inayoletwa mbele ya bunge inayolenga Uchaguzi huu 2024 / 2025 pia kwenda mbele

View: https://m.youtube.com/watch?v=XXcysTePjmE
yaani miswaada ya Sheria ya Uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi na kutolea ufafanuzi

Pia mswada wa vyama vya siasa sheria kuhusu kuzingatia usawa wa kijinsia.

Ni sharti la lazima vyama vya watu wa kundi maalum kushiriki kikamilifu.

Waratibu wa uchaguzi ngazi za mikoa, je ngazi za majimbo na mitaa nani atasimamia.

Mapungufu ya muswada :
  1. Tume Huru Ya Taifa Ya Uchaguzi badala ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ili tume ilindwe pia kuwa huru.
  2. Muswada huu wa 2023 unakinzana na Katiba ya nchi ibara 74 , hivyo haufai kupelekwa bungeni
  3. Nafasi ya Jeshi la Polisi ambalo mpaka sasa ni kikwazo katika mchakato mzima wa uchaguzi, PGO ya polisi ni ulinzi wa raia na Mali lakini Jeshi la Polisi linakuwa juu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  4. Hitaji la Katiba Mpya bado lipo pale pale ili kuwepo na uwanja sawa kwa wote wakati wa mchakato wa uchaguzi na pia maisha ya kawaida baada ya uchaguzi
 
Akimualika Lissu alafu achafue hali ya hewa, Itamgharimu zaidi Paskali.

..kama anamuogopa Tundu Lissu basi amualike John Mnyika, Bob Chacha Wangwe, au Deus Kibamba, watu ambao wana uelewa na masuala ya Katiba na Sheria za uchaguzi.

..sio sahihi kualika watu ambao hawana nia njema na harakati za kuleta mabadiliko ya kweli ya demokrasia hapa Tanzania.
 
Mkuu JokaKuu , nia njema unaipimia wapi, ili uamue huyu nimwalike na huyu hapana nisimwalike?, kazi yetu sisi waandishi wa habari ni kama dereva taxi, wote ni abiria wangu!, naalika watu wote bila ubaguzi.
P
 
Weka watu wenyeukinzani wa hoja tupate madamoto ndugu Sasa unaweka hao ccm B na Ccm A ili tupate Ccm C au?? Sema nawewe ni Ccm grade F unatafuta upenyo maana 2025 imekaribia, pambana pasiko njaa tangaza njaa nawewe ufaidi kodizetu maana umesotaga jamaaetu
 
..Watanzania tunajuana ktk suala la Katiba Mpya, na Tume Huru ya Uchaguzi.

..Ungeniambia unataka kuwe na balance ktk maoni ya wageni unaowahoji ningekuelewa.

..Sio sahihi kutufanya wasomaji wako wajinga kwa kudai hujui mitizamo ya wageni unaotarajia kuwaalika.

..Wakati mwingine unajidhalilisha Pascal Mayalla kwa mambo unayoandika. Hata kama unatafuta maokoto usifanye kwa kuzidisha na kujidhalilisha.
 
..kama anamuogopa Tundu Lissu basi amualike John Mnyika, Bob Chacha Wangwe, au Deus Kibamba, watu ambao wana uelewa na masuala ya Katiba na Sheria za uchaguzi.

..sio sahihi kualika watu ambao hawana nia njema na harakati za kuleta mabadiliko ya kweli ya demokrasia hapa Tanzania.
Hawana uelewa huo unaosema- wamesoma na kukariri katiba ya Tanzania ya 1977 ila sayansi ya katiba hawaijui. Chulia mfano- kesi yao na wale wnanwali 19imeonyesha matobo kwenye katiba ya CHADEMA; wangekuwa wanajua sayansi ya katiba wala hilo lisingetokea.
 
..Jaji ameboronga ktk hukumu ya kina Halima Mdee.

..Kamati Kuu ya Cdm ina wajumbe kama 30. Baraza Kuu lina wajumbe 400+.

..Sio sahihi kusema maamuzi yanayofanyika kwa KURA ktk Baraza kuu yanaathiriwa na ushiriki wa wajumbe wa kamati kuu.

..Jaji anataka Baraza Kuu la Chadema liketi bila uwepo wa wajumbe wa Kamati Kuu na kufanya maamuzi.

..Sasa ushauri wa Jaji ukifuatwa Katiba ya Chadema itakuwa imekiukwa na kunaweza kumbuka kesi nyingine kwamba kina Halima wamefukuzwa kinyume na katiba ya chama.
 
..kama anamuogopa Tundu Lissu basi amualike John Mnyika, Bob Chacha Wangwe, au Deus Kibamba, watu ambao wana uelewa na masuala ya Katiba na Sheria za uchaguzi.

..sio sahihi kualika watu ambao hawana nia njema na harakati za kuleta mabadiliko ya kweli ya demokrasia hapa Tanzania.
Hawana uelewa huo unaosema- wamesoma na kukariri katiba ya Tanzania ya 1977 ila sayansi ya katiba hawaijui. Chulia mfano- kesi yao na wale wnanwali 19imeonyesha matobo kwenye katiba ya CHADEMA; wangekuwa wanajua sayasi ya katiba wala hilo lisingetokea
..Jaji ameboronga ktk hukumu ya kina Halima Mdee.

..Kamati Kuu ya Cdm ina wajumbe kama 30. Baraza Kuu lina wajumbe 400+.

..Sio sahihi kusema maamuzi yanayofanyika kwa KURA ktk Baraza kuu yanaathiriwa na ushiriki wa wajumbe wa kamati kuu.

..Jaji anataka Baraza Kuu la Chadema liketi bila uwepo wa wajumbe wa Kamati Kuu na kufanya maamuzi.

..Sasa ushauri wa Jaji ukifuatwa Katiba ya Chadema itakuwa imekiukwa na kunaweza kumbuka kesi nyingine kwamba kina Halima wamefukuzwa kinyume na katiba ya chama.
Mkuu kama unaweza ondoa hii post- maana inadhalilisha uelewa wako wakati wewe ni mtu muelewa. Yaani unakiri kuwa kwenye watu 400 wapo watu 4 ambao siyo sahihi kuwepo halafu unataka uamuzi wao uwe sahihi?
 
Hawana uelewa huo unaosema- wamesoma na kukariri katiba ya Tanzania ya 1977 ila sayansi ya katiba hawaijui. Chulia mfano- kesi yao na wale wnanwali 19imeonyesha matobo kwenye katiba ya CHADEMA; wangekuwa wanajua sayasi ya katiba wala hilo lisingetokea

Mkuu kama unaweza ondoa hii post- maana inadhalilisha uelewa wako wakati wewe ni mtu muelewa. Yaani unakiri kuwa kwenye watu 400 wapo watu 4 ambao siyo sahihi kuwepo halafu unataka uamuzi wao uwe sahihi?

..Nimekwambia Jaji ameboronga ile hukumu.

..kitu anachopendekeza kifanyike ni kinyume na katiba ya Chadema.

..katiba ya Chadema inaelekeza kwamba wajumbe wa kamati kuu ni sehemu ya wajumbe wa Baraza kuu.

..ukiitisha Baraza kuu la Chadema bila uwepo wa wajumbe wa kamati kuu unakuwa umekiuka katiba ya chama.

..ukiacha hilo unaweza kuangalia jinsi kura zilivyopigwa. Tatizo lingekuwepo kama kura ya maamuzi ingekuwa too close against, or for, Halima na wenzake.

..Hata Jaji angeamua kuwa kura za wajumbe wa kamati kuu ni batili bado uamuzi wa kuwafukuza kina Halima ungepita.

Cc Erythrocyte , Nguruvi3
 
..Nimekwambia Jaji ameboronga ile hukumu.

..kitu anachopendekeza kifanyike ni kinyume na katiba ya Chadema.

..katiba ya Chadema inaelekeza kwamba wajumbe wa kamati kuu ni sehemu ya wajumbe wa Baraza kuu.

..ukiitisha Baraza kuu la Chadema bila uwepo wa wajumbe wa kamati kuu unakuwa umekiuka katiba ya chama.

..ukiacha hilo unaweza kuangalia jinsi kura zilivyopigwa. Tatizo lingekuwepo kama kura ya maamuzi ingekuwa too close against of for Halima na wenzake.

..Hata Jaji angeamua kuwa kura za wajumbe wa kamati kuu ni batili bado uamuzi wa kuwafukuza kina Halima ungepita.

Cc Erythrocyte , Nguruvi3
Nitty-gritty

Jaji aliboronga sana hakuna utetezi mwingine utakaosafisha hilo.

Jaji alitakiwa kutafsiri katiba ya Chadema, si kupanga nini kiandikwe nini kilikosewa na nini kirekebishwe.
Katiba iliridhiwa na Wanachama kama mwongozo wao na akina Halima ambao ni Wanasheria wanajua hilo.
Hakuna mwanachama aliyewahi kulalamika kuhusu uwezekano wa kutotendewa haki

Pili,Katiba imeridhiwa na Msajili wa Vyama kwamba inakidhi haja ya Chama cha Siasa. Jaji alitakiwa aelewe hilo

Tatu, Jaji alitakiwa kutumia busara (Professional judgement) katika hukumu jambo linaloruhusiwa.

Niliwahi kuona uchaguzi mmoja nchi za wenzetu kulikuwa na malalamiko ya kura katika baadhi ya vituo.
Jaji alikubali kulikuwa na ukiukwaji katika vituo hivyo , akasema matokeo ya vituo vilivyolalmikiwa yasingeweza kubadili matokeo ya jumla, kwahiyo, kwa maoni yake mshindi alikuwa halali.

Je, wajumbe wa CC Chadema wangeweza kubadili msimamo wa Baraza kuu kwa kura!
 
Weka watu wenyeukinzani wa hoja tupate madamoto ndugu Sasa unaweka hao ccm B na Ccm A ili tupate Ccm C au?? Sema nawewe ni Ccm grade F unatafuta upenyo maana 2025 imekaribia, pambana pasiko njaa tangaza njaa nawewe ufaidi kodizetu maana umesotaga jamaaetu
Mkuu kirengased, duh...!
P
 
Nitty-gritty

Jaji aliboronga sana hakuna utetezi mwingine utakaosafisha hilo.

Jaji alitakiwa kutafsiri katiba ya Chadema, si kupanga nini kiandikwe nini kilikosewa na nini kirekebishwe.
Katiba iliridhiwa na Wanachama kama mwongozo wao na akina Halima ambao ni Wanasheria wanajua hilo.
Hakuna mwanachama aliyewahi kulalamika kuhusu uwezekano wa kutotendewa haki

Pili,Katiba imeridhiwa na Msajili wa Vyama kwamba inakidhi haja ya Chama cha Siasa. Jaji alitakiwa aelewe hilo

Tatu, Jaji alitakiwa kutumia busara (Professional judgement) katika hukumu jambo linaloruhusiwa.

Niliwahi kuona uchaguzi mmoja nchi za wenzetu kulikuwa na malalamiko ya kura katika baadhi ya vituo.
Jaji alikubali kulikuwa na ukiukwaji katika vituo hivyo , akasema matokeo ya vituo vilivyolalmikiwa yasingeweza kubadili matokeo ya jumla, kwahiyo, kwa maoni yake mshindi alikuwa halali.

Je, wajumbe wa CC Chadema wangeweza kubadili msimamo wa Baraza kuu kwa kura!
Naunga mkono hoja, kiukweli tuna tatizo kubwa sana na wanasheria majanga kwenye mihimili yote, serikali inatunga muswada wa sheria batili, Bunge linaitunga kuwa sheria. Mahakama inashindwa kutafsiri katiba!, kati ya wanasheria majanga wote, madhara kakubwa ni majaji!, Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
P
 
Back
Top Bottom