Mangungu alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu, mhindi alitaka kufanya maigizo ya kuwaondoa wajumbe wake kisha kurudisha wale wale!

Mo naye amekuwa na ujinga. Unarudisha key persons kutoka kwenye board ilioshindwa na kujiudhuru. Huu ni upuuzi wa kiwango cha CCM.
Wakati namwambia GENTAMYCINE kwamba Mangungu ni mtoto wa Libya street, amekulia Uhindini na anawajuwa Wahindi aliishia kunikebei, sasa ndio mtaelewa Murtaza anamjuwa vizuri Mwamedi ni magumashi tu.
 
Kuendelea kwa Mo kuwepo Simba kumewaumiza Sana Utopolo....!

Ndoto Zao Mo naye Asuse...!
 
Afadhali ya MO, waliotia fola ni Mashabiki na wanachama wa Simba. wajumbe walipojiuzururu Simba walishangiia sana, na waliporudishwa waemeshangilia zaidi.
 
Ni mpumbavu tu,anayetumika na yanga kuleta migogoro Simba.
Huyu mzee ana faida gani unayoiona hapo zaidi ya kuwa kikwazo tu?

Timu haipati matokeo kwa sababu ya mhuni mmoja anayejaribu kupambana na mwekezaji na kuna tetesi amepewa pesa ampigie ndogo ndogo ndogo wa GSM ili apewe timu!

Kifupi kabisa sipendi watu wajinga wajinga kama huyu mzee
 

Ni migogoro ipi iliyosababishwa na Mangungu?
 
Mo naye amekuwa na ujinga. Unarudisha key persons kutoka kwenye board ilioshindwa na kujiudhuru. Huu ni upuuzi wa kiwango cha CCM.
Mashabiki wa Simba mkianza kujitambua namna hii timu itasongq mbele. Haiwezekani Mtu aliyejiuzulu ateue Mtu wa kushika nafasi yake, kisha aliyeteuliwa naye amteue aliyejiuzulu. Uliona wapi usanii wa Aina hii?
 
Siyo Kila Mtu ana kipaji cha kujikomba na kujipendekeza kama wewe. Watu mnatafuta furaha ya Muda mfupi Kwa kuuza utu wenu?
 
Mangungu ni kiongozi aliechaguliwa na wanachama katika uongozi.Atajiuzulu vipi ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…