Mangungu alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu, mhindi alitaka kufanya maigizo ya kuwaondoa wajumbe wake kisha kurudisha wale wale!

Mangungu alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu, mhindi alitaka kufanya maigizo ya kuwaondoa wajumbe wake kisha kurudisha wale wale!

Majok majok

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2023
Posts
783
Reaction score
2,057
Mangungu ni Kama alishtukia kamchezo ka mhindi wa Bombay alikotaka kukafanya ili na yeye akae pembeni afanikishe jambo lake lakini mtoto wa mjini akausoma mchezo kwa umakini na kuupangua!

Bwana kanjibhai karudisha wajumbe wa bodi wale wale kina try again Sasa unajiuliza kulikuwa na haja Gani ya wajumbe hao kujiuzulu?

Wanajiuzulu asubuhi alafu jioni wanarudi Tena?

Wajumbe hao si ndio waliosema wanajiuzulu kwa kushindwa kufikia malengo ya klabu imekuwaje Tena wanarudishwa na wanakubali kurudi?

Ina maana kulikuwa na kamchezo kanafanyika ili kusudi apigwe pia mangungu presha ya kujiuzulu na jopo lake Kisha mhindi arudishe jeshi lake lilelile kwa mlango wa nyuma afanye yake!

Nampongeza mangungu kwa intelijensia yake Kali na aendelee kushikilia hapo hapo kumbe Kuna watu wanataka kuipora Simba kirejareja!

Try again alijiuzulu akaomba mhindi arudi kuwa mwenyekiti wa bodi, Kisha mhindi amemteua Tena kuwa mjumbe wa bodi hivi vichekesho tunaviona Simba tu walahi!
 
Mangungu ni Kama alishtukia kamchezo ka mhindi wa Bombay alikotaka kukafanya ili na yeye akae pembeni afanikishe jambo lake lakini mtoto wa mjini akausoma mchezo kwa umakini na kuupangua!
Bwana kanjibhai karudisha wajumbe wa bodi wale wale kina try again Sasa unajiuliza kulikuwa na haja Gani ya wajumbe hao kujiuzulu?
Wanajiuzulu asubuhi alafu jioni wanarudi Tena???
Wajumbe hao si ndio waliosema wanajiuzulu kwa kushindwa kufikia malengo ya klabu imekuwaje Tena wanarudishwa na wanakubali kurudi?
Ina maana kulikuwa na kamchezo kanafanyika ili kusudi apigwe pia mangungu presha ya kujiuzulu na jopo lake Kisha mhindi arudishe jeshi lake lilelile kwa mlango wa nyuma afanye yake!
Nampongeza mangungu kwa intelijensia yake Kali na aendelee kushikilia hapo hapo kumbe Kuna watu wanataka kuipora Simba kirejareja!
Try again alijiuzulu akaomba mhindi arudi kuwa mwenyekiti wa bodi, Kisha mhindi amemteua Tena kuwa mjumbe wa bodi hivi vichekesho tunaviona Simba tu walahi!
Umetoa hoja sahihi kabisa. Maana Kati ya wajumbe 6 alirudisha 4 japo wawili anasema wamekataa.
 
Nilimsikia Jamhuri Kihwelo (Julio) akihojiwa na chombo fulani cha habari! Aliwashangaa sana mashabiki mbumbumbu wanaotaka Mangungu ajiuzulu, eti kisa tu timu imeshika nafasi ya tatu!!

Amewashangaa pia hao mashabiki kwa kumwagia sifa kedekede mwekezaji wao Mo pale tu inapofanya vizuri! Ila ikitokea timu imefanya vibaya; basi lawama zote anabebeshwa Mangungu!!
 
Wana Simba wengi wanajua kua MO anafanya mambo kwa maslahi yake binafsi lakini hawana jinsi kwakua pesa yake wana ihitaji ili wasitembeze bakuli.

Wanajua kua Mangungu hana tatizo ila hana ela kwaiyo kwao ni bora kumuondoa Mangungu ili kumfurahisha MO.
Matatizo anayo sababisha MO ni makubwa lakini sadaka wanataka wa mtoe Mangungu.
 
Mo mwenyewe alimpisha try again baada ya Simba kufanya vibaya sana msimu ule alipojiweka kando Sasa kurudi kwake hakuna maajabu yoyote
Yanga tujipange na Azam huyu ndie kwikwi msimu ujao hii Simba imeshakuwa umisseta team itapambana na kina Ihefu(Singida black stars)
 
Hili jina MBUMBUMBU lilikuwa sahihi sana
Unajiuzulu unasema tumeshindwa kufikia malengo tuwapishe wengine alafu badae unarudishwa Tena kwenye nafasi Ile Ile na unakubali Sasa ayo malengo yaliyokushinda mwanzo ukajiondoa unarudi kuyafanikisha kwa kipya kipi ulichonacho? Mo na try again ni Kama pipa na mfuniko wake wanalindana wale na wanajua madudu yao awawezi kutengana!
 
M0 ni jina lenye heshima sana Tz, ila sasa limedharaulika nakuonekana kama MWAMED.
Ni kweli pia akae akijua kuwa masikni wakiungana Tajiri anakuwa matatani anatumia kigezo cha utoaji pesa kuwaona wanasimba wote hamnazo.
Anajidanganya akae akijua kuwa Simba sio mazuzu kama vile anavyodhania wapo wametulia wanamchola keshatanguliza miguu nadhani muda sio mrefu sauti itasikika.
 
Back
Top Bottom