Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Wahuni wamejiuzia bus kwa bei chee kabisa na sasa bus linapiga kazi mikoa ya kusini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo basi analosema limeuzwa ni lipi? Lililouzwa kabla hajaingia madarakani tunalijua liliuzwa Mtwara. Hili la Africarriers tuliloambiwa na Ahmed Ally nalo limeizwa?Yaliyomo yamo, habar kamili [emoji116]
Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu ameeleza kuwa basi la timu hiyo limeuzwa na halipo kwenye matengenezo tofauti na ilivyoelezwa hapo awali.
Murtaza amesema hayo leo, Januari 20, 2022 wakati akifanya kampeni za kuomba kura za kuendelea kushikilia nafasi hiyo Uenyekiti katika uchaguzi utakaofanyika Januari 29, 2023.
"Basi la Simba limeuzwa mimi nikiwa sipo kwenye uongozi sikuwa mjumbe wa bodi wala Mwenyekiti wa timu kama nilivyo sasa lakini baada ya kufuatilia hili suala lilipelekwa kwenye bodi ya klabu na wajumbe tumefuatilia na kubaini kuwa limeuzwa kwa kufuata taratibu,” amesema Mangungu.
Yote Mkuu ndiyo maana timu yetu siku hizi inakodi daladala za BuzaHilo basi analosema limeuzwa ni lipi? Lililouzwa kabla hajaingia madarakani tunalijua liliuzwa Mtwara. Hili la Africarriers tuliloambiwa na Ahmed Ally nalo limeizwa?
Kwani bus ndio litaipeleka timu Dubai?Kanjibai anataka ubingwa wa Africa wakati timu haina hata bus
Mabus Yote yameuzwa ndo mana wanatembelea coasterHilo basi analosema limeuzwa ni lipi? Lililouzwa kabla hajaingia madarakani tunalijua liliuzwa Mtwara. Hili la Africarriers tuliloambiwa na Ahmed Ally nalo limeizwa?
Wewe inakuhusu nini kwani ulitoa hata shilingi yako?Hii timu inahitaji msaada wa haraka, maana ujanja ujanja umezidi. Hela za mauzo ya hilo basi wamefanyia nini?
Kwani basi ndiyo linacheza?Kanjibai anataka ubingwa wa Africa wakati timu haina hata bus
Msaada jipeni wenyewe...anzeni na wachezaji wenu wanaowapanda vichwani morrison na wenzakeHii timu inahitaji msaada wa haraka, maana ujanja ujanja umezidi. Hela za mauzo ya hilo basi wamefanyia nini?
Sports pesa hawajawahi kutoa basi najua TBL ndio walitoa basi kwa simba, yanga na TFF.Linalozungumziwa ni basi walilopewa na Sports Pesa. Hili liliuzwa na utaratibu ulitangazwa.Sio haya mapya.Aliyosema yapo matengenezo yapo na mojawapo lilitumika kuwabeba Simba Queens kwenye mechi yao huko Lindi Jumamosi iliyopita. Wacheni majungu Utopolo.
Yah lile la TBL ndioSports pesa hawajawahi kutoa basi najua TBL ndio walitoa basi kwa simba, yanga na TFF.
Yapo wapi?? Tuoneshe yalipoYah lile la TBL ndio
Limeuzwa yale ambayo yalitolewa na africarriers bado yapo
Kwa kuweka tu kumbukumbu sawa; zile Yutong zilinunuliwa na mdhamini wa kipindi hicho (Kilimanjaro Lager).Linalozungumziwa ni basi walilopewa na Sports Pesa. Hili liliuzwa na utaratibu ulitangazwa.Sio haya mapya.Aliyosema yapo matengenezo yapo na mojawapo lilitumika kuwabeba Simba Queens kwenye mechi yao huko Lindi Jumamosi iliyopita. Wacheni majungu Utopolo.
Yako gereji yalipotokeaYapo wapi?? Tuoneshe yalipo
Gereji ipi? ItajeYako gereji yalipotokea