Mangungu: Nitasajili Wachezaji bila kutegemea hela za MO

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
... 🚨 π—‘π—œπ—§π—”π—¦π—”π—π—œπ—Ÿπ—œ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜π—ͺπ—˜

"Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la kusimamia mtandao wa usajili na upembuzi wa kina kabla ya mchezaji kusajiliwa.”

©️ Murtza Mangungu.
Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC
 
Haya waje wale waliokuwa wanamtetea huyu kibaraka kuwa hana nguvu. Kumbe ana nguvu ya kuleta hadi Mkurugenzi wa Ufundi na kusajili wachezaji? Uto mlipopatia ni kuchomeka viongozi kama hawa waivuruge Simba na kuiba siri za klabu.
 
Mlio karibu naye pelekeni Mirembe huyu mzee
 
Haya waje wale waliokuwa wanamtetea huyu kibaraka kuwa hana nguvu. Kumbe ana nguvu ya kuleta hadi Mkurugenzi wa Ufundi na kusajili wachezaji? Uto mlipopatia ni kuchomeka viongozi kama hawa waivuruge Simba na kuiba siri za klabu.
Tatizo lipo hapa
 
Attachments

  • FB_IMG_17182094317651336.jpg
    165.3 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…