Mangungu: Nitasajili Wachezaji bila kutegemea hela za MO

Mangungu: Nitasajili Wachezaji bila kutegemea hela za MO

IMG-20240612-WA0043.jpg
 
... 🚨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗪𝗘

"Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la kusimamia mtandao wa usajili na upembuzi wa kina kabla ya mchezaji kusajiliwa.”

©️ Murtza Mangungu.
Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC
Mangungu ni trilionea wakati MO ni bilionea.

MO hamfikii Mangungu kwa pesa 😁 😁 😁!
 
We kapuku, haya maelezo yanakinzana alichojibu jana clouds fm.
 
... 🚨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗪𝗘

"Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la kusimamia mtandao wa usajili na upembuzi wa kina kabla ya mchezaji kusajiliwa.”

©️ Murtza Mangungu.
Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC
Mishahara atawalipa?naona dalili ya kutembea bakuli inakaribia!
 
Back
Top Bottom