Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Hovyo kabisa, huyu mzee aondokeeeTimu inaendeshwa kama kikundi cha wahuni.
Mangungu ni trilionea wakati MO ni bilionea.... π¨ π‘ππ§ππ¦πππππ π πͺππ‘π¬ππͺπ
"Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la kusimamia mtandao wa usajili na upembuzi wa kina kabla ya mchezaji kusajiliwa.β
Β©οΈ Murtza Mangungu.
Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC
Mishahara atawalipa?naona dalili ya kutembea bakuli inakaribia!... π¨ π‘ππ§ππ¦πππππ π πͺππ‘π¬ππͺπ