Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

ilala city Council

ina bandari
Ina Mwendokasi
Ina Manispaa ndani ya Jiji la ilala

Ukifuatilia sifa jiji utagundua ilala imemaliza kazi

Saaa basi
Mapato ni makubwa kutokana na population.

Ni katika majiji yanayojitegemea na huko mbeleni watawajibikq kuimarisha huduma waendane na wakati
Comment yako imejitosheleza vizuri sana. Nina imani wasioijua Ilala vizuri wakipitia hapa wataelewa kile ambacho walikuwa hawakijui.
 
Mwanza and Dar 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽

Mwanza👉 Capripoint, Bwiru na ilemela to Malaika beach

Dar👉 Masaki, kigamboni na Mbezi beach
 
Back
Top Bottom