Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

Comment yako imejitosheleza vizuri sana. Nina imani wasioijua Ilala vizuri wakipitia hapa wataelewa kile ambacho walikuwa hawakijui.
 
Mwanza and Dar πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽

MwanzaπŸ‘‰ Capripoint, Bwiru na ilemela to Malaika beach

DarπŸ‘‰ Masaki, kigamboni na Mbezi beach
 
Na wana Ilala nao watakwambia kuwa wao ndio wenye mji wao, hilo kila mtu anajua πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mimi nimeandika vitu ambavyo vinajieleza vyenyewe mkuu, tofauti na hao wengine wanaforce tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…