Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

Ngoja nikuthibitishie ,Majengo pacha ya pspf yaligharibu 139.20B tshs sasa kwa kule mbezi tuchukue nyumba za chini ambazo sio za ghorofa nyingi zinathamani ya 200M tshs kwa wastani tugawe unapata 696(hizi ni nyumba bungalow za mbezi beach)

TPA Tower lenyewe liligharimu 120B tshs
Maghorofa mengi pale mbezi ni ya kati ya 500M hivi tugawe unapata 240(maghorofa 240 ya nyumba za kuishi pale mbezi beach)

Mnf tower iligharimu 320B tshs tugawe kwa bungalow za 400M apa zinatoka bangalow 800. (Hizo ni zile zenye hadi swimming pool)

Majengo Manne tu pale posta yanaenda sawa na majengo 1736 pale mbezi beach....

Sasa majengo kumi ya kule posta intakuaje???
Screenshot_20221113-102425_Chrome.jpg
Screenshot_20221113-102843_Chrome.jpg
 
Ngoja nikuthibitishie ,Majengo pacha ya pspf yaligharibu 139.20B tshs sasa kwa kule mbezi tuchukue nyumba za chini ambazo sio za ghorofa nyingi zinathamani ya 200M tshs kwa wastani tugawe unapata 696(hizi ni nyumba bungalow za mbezi beach)

TPA Tower lenyewe liligharimu 120B tshs
Maghorofa mengi pale mbezi ni ya kati ya 500M hivi tugawe unapata 240(maghorofa 240 ya nyumba za kuishi pale mbezi beach)

Mnf tower iligharimu 320B tshs tugawe kwa bungalow za 400M apa zinatoka bangalow 800. (Hizo ni zile zenye hadi swimming pool)

Majengo Manne tu pale posta yanaenda sawa na majengo 1736 pale mbezi beach....

Sasa majengo kumi ya kule posta intakuaje??? View attachment 2415228View attachment 2415231
Unazungumzia majengo ya PSSSF Taasisi ambayo ina michango ya watanzania wote hata walioko Katavi.

Hiyo TPA nayo ni Mali ya Umma.

Nadhani tungeweka vigezo. Kama ni residential areas, pesa kuzunguka , huduma za maji, afya , sewage system n.k.

Hizi akili zako za kuvukia barabara unadhani majengo mazuri ndio welfare Bora ya raia wakati unashi uswekeni. Lete Vigezo vinavyokugusa wewe raia kama housing, Ulinzi na usalama, accessibility ya maeneo kama yakitokea majanga ya Moto n.k. hivyo vigezo ndio vitumike kulinganisha maeneo.

Kwa unayoandika ndio akili za kiafrica unafurahia kwenda kupiga bicha Posta halafu unarudi kwako uswekeni kwenye nyumba iliyojengwa kwenye kiwanja cha ukubwa WA 12 Kwa 8.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hata maeneo ambayo ni uswazi yaliyopo kinondoni Yana thamani kubwa Kwa bei ya plot ukilinganisha na uswekeni za Chanika au Banana.

Tandale huwez kupata eneo Kwa milion 5 Ila huko uswekeni Chanika unapata eneo Hadi la milion 2.

Hata uswazi zingine za Manzese na mwananyamala maeneo yake Yana bei ukilinganisha na uswazi za ilala.

Halafu MTU anakuja kuleta blablaa.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nakumbuka zaman tulikuwa tukitoka kinondoni kwenda tabata kwa shangazi yetu utasikia binam zetu na majirani wengine wanasema hawa wametoka mjini wamekuja kututembelea. Wanatushangilia na kutuona kama vile sisi ndio ma born town wa jiji la Dar es salaam, na wakati hata na wao pia wamezaliwa Dar.

Sasa kama watu wa tabata tu walikuwa wanaona kinondoni, mw/nyamala au magomeni kuwa ni town. Vipi wa huko chanika, vingunguti nk?
 
Unazungumzia majengo ya PSSSF Taasisi ambayo ina michango ya watanzania wote hata walioko Katavi.

Hiyo TPA nayo ni Mali ya Umma.

Nadhani tungeweka vigezo. Kama ni residential areas, pesa kuzunguka , huduma za maji, afya , sewage system n.k.

Hizi akili zako za kuvukia barabara unadhani majengo mazuri ndio welfare Bora ya raia wakati unashi uswekeni. Lete Vigezo vinavyokugusa wewe raia kama housing, Ulinzi na usalama, accessibility ya maeneo kama yakitokea majanga ya Moto n.k. hivyo vigezo ndio vitumike kulinganisha maeneo.

Kwa unayoandika ndio akili za kiafrica unafurahia kwenda kupiga bicha Posta halafu unarudi kwako uswekeni kwenye nyumba iliyojengwa kwenye kiwanja cha ukubwa WA 12 Kwa 8.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
We ni mjinga kabisa pole sana,fungua uzi wako uweke vitu vingine vijadiliwe
 
Nakumbuka zaman tulikuwa tukitoka kinondoni kwenda tabata kwa shangazi yetu utasikia binam zetu na majirani wengine wanasema hawa wametoka mjini wamekuja kututembelea. Wanatushangilia na kutuona kama vile sisi ndio ma born town wa jiji la Dar es salaam, na wakati hata na wao pia wamezaliwa Dar.

Sasa kama watu wa tabata tu walikuwa wanaona kinondoni, mw/nyamala au magomeni kuwa ni town. Vipi wa huko chanika, vingunguti nk?
Chanika huko ni mkoani [emoji1787]

Hadi Leo kuna watu Chanika Wanakuja town mara moja moja na ukienda wanakuulizia story za town.

MTU katokea huko Katavi na Lori la viazi mviringo akashushwa Pale Soko la Temeke. Akapanda daladala la kwenda Chamazi anakuja kukwambia Mbagala ni kuzuri kuliko Kinondoni [emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka zaman tulikuwa tukitoka kinondoni kwenda tabata kwa shangazi yetu utasikia binam zetu na majirani wengine wanasema hawa wametoka mjini wamekuja kututembelea. Wanatushangilia na kutuona kama vile sisi ndio ma born town wa jiji la Dar es salaam, na wakati hata na wao pia wamezaliwa Dar.

Sasa kama watu wa tabata tu walikuwa wanaona kinondoni, mw/nyamala au magomeni kuwa ni town. Vipi wa huko chanika, vingunguti nk?
Mwananyamala kuchafu uswazi hakufai hata kidogo
 
Unazungumzia majengo ya PSSSF Taasisi ambayo ina michango ya watanzania wote hata walioko Katavi.

Hiyo TPA nayo ni Mali ya Umma.

Nadhani tungeweka vigezo. Kama ni residential areas, pesa kuzunguka , huduma za maji, afya , sewage system n.k.

Hizi akili zako za kuvukia barabara unadhani majengo mazuri ndio welfare Bora ya raia wakati unashi uswekeni. Lete Vigezo vinavyokugusa wewe raia kama housing, Ulinzi na usalama, accessibility ya maeneo kama yakitokea majanga ya Moto n.k. hivyo vigezo ndio vitumike kulinganisha maeneo.

Kwa unayoandika ndio akili za kiafrica unafurahia kwenda kupiga bicha Posta halafu unarudi kwako uswekeni kwenye nyumba iliyojengwa kwenye kiwanja cha ukubwa WA 12 Kwa 8.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kiwanja cha 12 kwa 8 unajenga nyumba ya vyumba vingapi ?
 
Ngoja nikuthibitishie ,Majengo pacha ya pspf yaligharibu 139.20B tshs sasa kwa kule mbezi tuchukue nyumba za chini ambazo sio za ghorofa nyingi zinathamani ya 200M tshs kwa wastani tugawe unapata 696(hizi ni nyumba bungalow za mbezi beach)

TPA Tower lenyewe liligharimu 120B tshs
Maghorofa mengi pale mbezi ni ya kati ya 500M hivi tugawe unapata 240(maghorofa 240 ya nyumba za kuishi pale mbezi beach)

Mnf tower iligharimu 320B tshs tugawe kwa bungalow za 400M apa zinatoka bangalow 800. (Hizo ni zile zenye hadi swimming pool)

Majengo Manne tu pale posta yanaenda sawa na majengo 1736 pale mbezi beach....

Sasa majengo kumi ya kule posta intakuaje??? View attachment 2415228View attachment 2415231
Mkuu hapa katika thamani ya nyumba za chini mbezi kwamba gharama zake ni M200 na ghorofa M500 sikubaliani na wew. Maybe kama unazungumzia kiwanja kitupu.

Marehem babu yangu ana nyumba kubwa ya chini pale mwembechai ndan kidogo ukitoka Morogoro road. Watoto wake ambao ni wajomba na mama zangu wanataka kuiuza kwa M300 ila alipatikana mtu akawambia atawapa M200 wakakataa eti wanataka mia 3. Sasa kama nyumba ya chini tu na ya kawaida mwembechai mtu anataka kuwapa mia 2, vipi unambie kuwa mbezi beach mabangaloo yake ni M200 afu ghorofa M500. Kweli mkuu hii inaeleweka kweli?
 
Jamani na sisi wa Temeke tunaruhusiwa kuchangia hapa
Huu uzi haukusoma mwanzo mkuu. Mbona unazungumzia Ilala, kinondoni, temeke, ubungo na kigamboni.

Kwahiyo na ww wa tekeke una ruhusa ya kuchangia ili mradi usije kuizungumzia Morogoro, Tanga au Mtwara.
 
Mwananyamala kuchafu uswazi hakufai hata kidogo
Sikatai mkuu, lkn kwa watu waliopo pemben ya mkoa wanaiona mw/nyama kuwa ni township. Ukilinganisha na huko walipo.
 
Mkuu hapa katika thamani ya nyumba za chini mbezi kwamba gharama zake ni M200 na ghorofa M500 sikubaliani na wew. Maybe kama unazungumzia kiwanja kitupu.

Marehem babu yangu ana nyumba kubwa ya chini pale mwembechai ndan kidogo ukitoka Morogoro road. Watoto wake ambao ni wajomba na mama zangu wanataka kuiuza kwa M300 ila alipatikana mtu akawambia atawapa M200 wakakataa eti wanataka mia 3. Sasa kama nyumba ya chini tu na ya kawaida mwembechai mtu anataka kuwapa mia 2, vipi unambie kuwa mbezi beach mabangaloo yake ni M200 afu ghorofa M500. Kweli mkuu hii inaeleweka kweli?
Ukisoma huo mwandiko wangu vizuri nme assume, mbezi beach nmekaa napafahamu vizuri na ninauzoefu na ishu za ujenzi ndio maana nmeweka kama standard...na nyumba nyingi za mbezi zilijengwa muda kidogo wakati vitu bei zilikua hazijapaa sana
 
Back
Top Bottom