Manispaa ya Kahama itakuwa kama Jiji la Mwanza miaka 10-15 ijayo

" KAHAMA " kaa halafu hama, uhame ukiwa na pesa kwenda miji mikubwa zaidi, kwa mfano akina Mongo kutoka kahama kwenda kuendelea biashara Mwanza mjini kati kabisa.

Mie nikikumbuka miaka ya 2000 na nikienda sasa najilaumu huko mbulu,shunu,mhongolo kote ilikuwa ni pori haswaa uki acha misheni mbili ilikuwa inaonekana ni mbali sana na hakutakuja kujengeka kwa urahisi, nyasubi ndio sehemu ilikuwa mwisho wa mji na viwanja tulipata kwa bei poa sana enzi hizo.

RIP my Fthr, FthrJr mliona mbali mbali sana miaka hiyo natamani muione kahama mliyokuwa mkiisema itakavyokuwa baadae.
 
Maisha na maeneo yanabadilika sana. Kachukue eka moja Nyandekwa, 2033 utakuwa tajiri na utajiona mwenye akili sana[emoji2][emoji2]
 
Ni kweli Lile Jengo Hotel lipo, na mwezi juzi hapa Rais aliienda kuliona, lkn halijakamilika na halijaanza kutumika. Ebu fikiria umeona jengo la kusema hilo tu,ina maana Kuna changamoto. Hivyo vyuo vingine ulivyotaja ukiacha cha fisheries vyote ni matawi, main campus zake ziko DSM. Licha ya hivyo hivyo ni vyuo vidogo, vinaitwa vyuo vya kati.
Serikali haiwezi kujenga chuo kila mahali ni lazima ishakabe na wadau na wadau hao ni kama SAUT. Hata Arusha pia vyuo vikuu vya serikali havipo ni matawi tu.
 
Siyo kamba kaka! Huwezi amini ilikuwa hivo, Mimi nilikuwepo Mwanza miaka hiyo. Na nilisafiri kwenye hiyo barabara!
Acha uongo nimezaliwa Mwanza na mimekulia Mwanza Lami ya kwenda Shinyanga toka Mwanza mjini imejengwa miaka ya 90 hv mwanzoni au katikati nina mzee mmoja pale Mkolani nilizoeana nae na ndio.aliniambia Lami imejengwa lini!!
 
Kuna uhusiano mkubwa sana Kaka shetani. Ukipeleka Chuo Kama UDOM inayochukua watu zaidi ya elfu30, maana yake ni kwamba hao wote ni pesa. Watahitaji kula, kulala, kuvaa, mawasiliano ya simu, kunywa nk. Huo wote ni mzunguko wa pesa. Hapo hujazungumzia wale walimu wao ambao watahitaji viwanja na kujenga. Watu au wenyeni wanapata kazi au vibarua. Vivyo hivyo kwenye afya mahospitalini, hospitalini ni watu, watu ndo pesa. Hizo taasisi ni watu, watu ndo pesa, pesa ndo maendeleo. Huo ndo uhusiano wa taasisi na maendeleo
Kwani SAUT na Bugando wanachukua wangap
 
Uzi mzuri sana ila umetupiga kamba sehemu moja tu et lami iliishia mkuyuni 2003!??

Vingine vyote ni kweli
Asante mkuu! Hiki hata mimi nilitaka kupingana naye! Mwaka 2003 lami ilikuwa inaenda mpaka mwakani mwa Shinyanga na Mwanza. Pale Ilula/Nyasamba.
 
Serikali haiwezi kujenga chuo kila mahali ni lazima ishakabe na wadau na wadau hao ni kama SAUT. Hata Arusha pia vyuo vikuu vya serikali havipo ni matawi tu.
Unaijua Nelsona Mandela University of Science and Technology

AIA
ATC
Sema hizo ni HLI
 
Nelson Mandela ni chuo cha juzi kati tu kimejengwa elf na 10 kama sikosei hata na hivyo kile ni chuo cha kimataifa kimejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Nelson Mandela hapo usiilaumu serikali. ATC hicho ni chuo cha kati jabo kwa sasa kinatoa degree. AIA hicho ni chuo cha uhasibu kilichopo Njiro ni chuo kidogo mno hakina tofauti sana na kile chuo cha uhasibu kilichopo pale samaki samaki Mwanza.

Nilichokupinga mimi ni pale ulipotaka kuonesha kuwa serikali inapendelea miji mingine kwa kupeleka maendeleo ila Mwanza inaachwa nyuma. Unasahau ya kuwa serikali imejenga stendi mbili za kisasa Mwanza stendi ya Nyegexi na Nyamuhongolo ambazo zimeachana umbali usiozidi kilometa kumi wakati Arusha hawana stendi hata moja. Umesahau pia serikali imejenga na kuboresha uwanja wa ndege wa Mwanza wakati Arusha hakuna uwanja mkubwa. Umesahau pia Serikali imejenga Mall kubwaa na ya kisasa Mwanza ambayo inasemekana ndio mall kubwa kuliko zote nchini, rock city mall kitu ambacho Arusha hakuna zipo za kawaida tu.
 
Kutoka nyegezi adi nyamhongolo ni umbali wa kilometa 30 acha kuleta mbamba mbamba, nyegezi adi town ni 12km.
 
Naweza nikawa nimekosea nilichokusudia kuandika ni umbali usiozidi 20km sio kumi. Mwanza naifahamu kuliko unavyodhani, umbali kutoka nyegezi hadi Nyamuhongolo iwe 30km! je kutoka Usagara hadi kisesa itakuwa km ngapi? Ua unadhani naandika kitu nisichokijua?
 
Ingekuwa kilometa 23km kama kungekuwa na shortcut ya kutokea buhongwa adi igoma, lakini kwa mzunguko ni kilometa zaidi ya 30+
 
Acha uongo wewe nyegezi hadi Nyamuhongolo ni kama 20km haifik 30km. Ukipita ile bypass ya usagara hadi kisesa ile sio shortcut?
 
Back
Top Bottom