abnormal
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 541
- 1,319
" KAHAMA " kaa halafu hama, uhame ukiwa na pesa kwenda miji mikubwa zaidi, kwa mfano akina Mongo kutoka kahama kwenda kuendelea biashara Mwanza mjini kati kabisa.
Mie nikikumbuka miaka ya 2000 na nikienda sasa najilaumu huko mbulu,shunu,mhongolo kote ilikuwa ni pori haswaa uki acha misheni mbili ilikuwa inaonekana ni mbali sana na hakutakuja kujengeka kwa urahisi, nyasubi ndio sehemu ilikuwa mwisho wa mji na viwanja tulipata kwa bei poa sana enzi hizo.
RIP my Fthr, FthrJr mliona mbali mbali sana miaka hiyo natamani muione kahama mliyokuwa mkiisema itakavyokuwa baadae.