Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
sasa timu ni ya kwake na hataki kuwapa pesa za kujengea hilo shamba watalima nini ndengu!?wa kimataifa waleeeeeeee tunapasua anga tu kudadadeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa timu ni ya kwake na hataki kuwapa pesa za kujengea hilo shamba watalima nini ndengu!?wa kimataifa waleeeeeeee tunapasua anga tu kudadadeki
Hana uwezo wa kuhamisha mtaa!!Ndo mana kanyoosha mikono kuhusu jangwani City...Mama karume kaona mbali ndo ameshauri aachane na Jangwani City.Geza ulole ndo kwenu Hamna jinsi!Ma
Mwenyekiti Manji alitenga bilioni 52 kuwahamisha wakazi wa mtaa wa Twiga sio kule bondeni serikali ikanuna maana bila ya Yanga uwanja wao wa Taifa ungekuwa makumbusho... Sasa tunaenda kigamboni 2018 tutacheza mechi moja tu Taifa na simba ya ugenini
WordMaji anajificha kwenye kichaka cha karanga, subr j2 matokeo yawe kinyume ndipo atakapo wajua yanga kuwa amewapiga nusu kaputi au lah
Yangu macho....
Mwizi kivipi mkuu?! Fafanua.waende zao huko wezi wakubwa hawa;
unawezaje kuwa na eneo kubwa hivyo
mtu mmoja;
eti amewapa, si angebaki na eneo lake
tuone kama asingesoma namba.
waende zao huko wezi wakubwa hawa;
unawezaje kuwa na eneo kubwa hivyo
mtu mmoja;
eti amewapa, si angebaki na eneo lake
tuone kama asingesoma namba.
I can see the pain you go through. See Yanga with 715 acres of Land really pains you a lot.waende zao huko wezi wakubwa hawa;
unawezaje kuwa na eneo kubwa hivyo
mtu mmoja;
eti amewapa, si angebaki na eneo lake
tuone kama asingesoma namba.
Ni kheri ametupatia sisi kuliko kurudisha mikononi mwa serikali.....Hilo shamba ambalo Manji amegawa kwa Yanga lilikuwa mali ya NAFCO, na alilitelekeza kwa muda mrefu na kuwa pori bila kuliendeleza. Pori liko barabara kuu kati ya Kibugumo na Gezaulole.
Siku nilipomsikia Waziri wa Ardhi, Lukuvi akisema kuwa sheria hairuhusu mtu kumiliki zaidi ya ekari tatu mjini nikishangaa kwa nini Manji anamiliki pori mjini km 15 kutoka Mjini.
Inawezekana Manji amegundua kuwa serikali ibataka kulitaifisha? Maana hiyo sehemu sio salama kabisa kwa watu wanaopita hapo giza linapoingia.
Vv
You kill it jombaa.I can see the pain you go through. See Yanga with 715 acres of Land really pains you a lot.
By the way! Tell us more about the so called 'on going Stadium construction at Bunju' in a land of 25 acres?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Goood for yangaMaji anajificha kwenye kichaka cha karanga, subr j2 matokeo yawe kinyume ndipo atakapo wajua yanga kuwa amewapiga nusu kaputi au lah
Yangu macho....
Vipi,unapata maumivu ndani kwa ndani ..........???Hilo shamba ambalo Manji amegawa kwa Yanga lilikuwa mali ya NAFCO, na alilitelekeza kwa muda mrefu na kuwa pori bila kuliendeleza. Pori liko barabara kuu kati ya Kibugumo na Gezaulole.
Siku nilipomsikia Waziri wa Ardhi, Lukuvi akisema kuwa sheria hairuhusu mtu kumiliki zaidi ya ekari tatu mjini nikishangaa kwa nini Manji anamiliki pori mjini km 15 kutoka Mjini.
Inawezekana Manji amegundua kuwa serikali ibataka kulitaifisha? Maana hiyo sehemu sio salama kabisa kwa watu wanaopita hapo giza linapoingia.
Vv
Kutoka maktabaMWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Mehboob Manji ameipa klabu hiyo eneo la ekari 715 lilipo Geza Ulole, Kigamboni, Dar es Salaam.Wasaidizi wa Manji wamekabidhi eneo hilo leo mchana katika hafla fupi iliyohudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba na Maofisa wa chama na Serikali ya Kigamboni.
Aliyepokea eneo hilo kwa niaba ya klabu ni Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa klabu, Mama Fatma Karume aliyeambatana na Mjumbe mwingine wa Bodi hiyo, Dk. Jabir Idris Katundu, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu, Samuel Lukumay na Katibu Mkuu, Baraka Deusdedit.
Sasa rasmi utafanyika ujenzi wa uwanja na uwekezaji mwingine katika eneo hilo lililobatizwa kijiji cha Yanga SC.
Kutoka maktaba