Manji ameipa klabu ya Yanga SC hekari 715 Geza Ulole

Manji ameipa klabu ya Yanga SC hekari 715 Geza Ulole

Yanga twende mbele tuekee old Trafford hapo kigamboni kwa raha zenu
 
Ma

Mwenyekiti Manji alitenga bilioni 52 kuwahamisha wakazi wa mtaa wa Twiga sio kule bondeni serikali ikanuna maana bila ya Yanga uwanja wao wa Taifa ungekuwa makumbusho... Sasa tunaenda kigamboni 2018 tutacheza mechi moja tu Taifa na simba ya ugenini
Hana uwezo wa kuhamisha mtaa!!Ndo mana kanyoosha mikono kuhusu jangwani City...Mama karume kaona mbali ndo ameshauri aachane na Jangwani City.Geza ulole ndo kwenu Hamna jinsi!
 
waende zao huko wezi wakubwa hawa;
unawezaje kuwa na eneo kubwa hivyo
mtu mmoja;
eti amewapa, si angebaki na eneo lake
tuone kama asingesoma namba.
 
Hilo shamba ambalo Manji amegawa kwa Yanga lilikuwa mali ya NAFCO, na alilitelekeza kwa muda mrefu na kuwa pori bila kuliendeleza. Pori liko barabara kuu kati ya Kibugumo na Gezaulole.

Siku nilipomsikia Waziri wa Ardhi, Lukuvi akisema kuwa sheria hairuhusu mtu kumiliki zaidi ya ekari tatu mjini nikishangaa kwa nini Manji anamiliki pori mjini km 15 kutoka Mjini.

Inawezekana Manji amegundua kuwa serikali ibataka kulitaifisha? Maana hiyo sehemu sio salama kabisa kwa watu wanaopita hapo giza linapoingia.

Vv
 
Au pengine sijaelewa, "Mwenyekiti wa Yanga akabidhi eneo lenye ukubwa wa ekari 715“

Taarifa hii haipo sahihi, pengine neno" eneo " lingepewa tafsiri. Eneo" shamba " au eneo" kiwanja ". Je, limepimwa? Ramani ya eneo Hilo imekaaje, ni eneo maalum kwa makazi, viwanda au biashara?
 
Kiini macho, isije kuwa kama ile ya ule mfuko wa jamii waliuziwa jengo la Quality plaza wakati title deed ya kiwanja ni cha mkewe, hivyo unamiliki jengo lkn sio kiwanja
 
waende zao huko wezi wakubwa hawa;
unawezaje kuwa na eneo kubwa hivyo
mtu mmoja;
eti amewapa, si angebaki na eneo lake
tuone kama asingesoma namba.
I can see the pain you go through. See Yanga with 715 acres of Land really pains you a lot.

By the way! Tell us more about the so called 'on going Stadium construction at Bunju' in a land of 25 acres?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo shamba ambalo Manji amegawa kwa Yanga lilikuwa mali ya NAFCO, na alilitelekeza kwa muda mrefu na kuwa pori bila kuliendeleza. Pori liko barabara kuu kati ya Kibugumo na Gezaulole.

Siku nilipomsikia Waziri wa Ardhi, Lukuvi akisema kuwa sheria hairuhusu mtu kumiliki zaidi ya ekari tatu mjini nikishangaa kwa nini Manji anamiliki pori mjini km 15 kutoka Mjini.

Inawezekana Manji amegundua kuwa serikali ibataka kulitaifisha? Maana hiyo sehemu sio salama kabisa kwa watu wanaopita hapo giza linapoingia.

Vv
Ni kheri ametupatia sisi kuliko kurudisha mikononi mwa serikali.....

Au unaonaje!?
 
I can see the pain you go through. See Yanga with 715 acres of Land really pains you a lot.

By the way! Tell us more about the so called 'on going Stadium construction at Bunju' in a land of 25 acres?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You kill it jombaa.
 
Maji anajificha kwenye kichaka cha karanga, subr j2 matokeo yawe kinyume ndipo atakapo wajua yanga kuwa amewapiga nusu kaputi au lah
Yangu macho....
Goood for yanga
 
Hilo shamba ambalo Manji amegawa kwa Yanga lilikuwa mali ya NAFCO, na alilitelekeza kwa muda mrefu na kuwa pori bila kuliendeleza. Pori liko barabara kuu kati ya Kibugumo na Gezaulole.

Siku nilipomsikia Waziri wa Ardhi, Lukuvi akisema kuwa sheria hairuhusu mtu kumiliki zaidi ya ekari tatu mjini nikishangaa kwa nini Manji anamiliki pori mjini km 15 kutoka Mjini.

Inawezekana Manji amegundua kuwa serikali ibataka kulitaifisha? Maana hiyo sehemu sio salama kabisa kwa watu wanaopita hapo giza linapoingia.

Vv
Vipi,unapata maumivu ndani kwa ndani ..........???
 
MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Mehboob Manji ameipa klabu hiyo eneo la ekari 715 lilipo Geza Ulole, Kigamboni, Dar es Salaam.Wasaidizi wa Manji wamekabidhi eneo hilo leo mchana katika hafla fupi iliyohudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba na Maofisa wa chama na Serikali ya Kigamboni.

Aliyepokea eneo hilo kwa niaba ya klabu ni Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa klabu, Mama Fatma Karume aliyeambatana na Mjumbe mwingine wa Bodi hiyo, Dk. Jabir Idris Katundu, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu, Samuel Lukumay na Katibu Mkuu, Baraka Deusdedit.

Sasa rasmi utafanyika ujenzi wa uwanja na uwekezaji mwingine katika eneo hilo lililobatizwa kijiji cha Yanga SC.
Kutoka maktaba
 
Back
Top Bottom