hapo ndo ujue we ni mjinga kabisa. epa walishafungwa sana, kwa wale wanaoenda kisutu mara nyingi tunawajua kina katiti na wenzake...tatizo mnafikiria kwa kupitia masaburi. sio vitu vyote serikali inashindwa......
Mbna wanashindwa kesi daily?acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Anaendelea kuwa Diwani wa Chama cha Madikteta!Hivi akishinda watamsafishaje?????
Bwana asifiwe mtumishi.Si muda mrefu tutakuwa nae uraiani
Kiko wapi baba mdogo ,mnapoteza kitu kimoja tu?muwe ma judge na mahakimu ccm wote hapo mta win- Haya maelezo yanatakiwa mahakamani sio huku, hii sio siasa kumbuka Manji yupo rumande mnapoandika hivi mnawachkonoa wanasiasa sijui kama mnamsaidia Manji, cause mtu yoyote mwenye akili kubwa kama mimi ukisoma hii unajua kabisa kuwa imeandikwa na mtu wenye sababu maalum behind it, jamani hii Serikali sio ile ya zamani!!
le Mutuz
Inashindwaje wakati kuna maagizo kutoka juu?Kwani mara ngapi serikali imeshindwa kesi?!
Kwani walikojoleana askari na mtuhumiwa?
Mungu wangu hivi akipunch kesi zote wale watu wanaficha wapi nyusi zao?Si muda mrefu tutakuwa nae uraiani
Wale hawana aibu kama kauzu, juzi Nape amewaambia "taiko likianguka mtu mzima huchutama"!Mungu wangu hivi akipunch kesi zote wale watu wanaficha wapi nyusi zao?
Haya mkuu,tumeshasubiri hukumu imetoka serikali imekosa ushahid,,,,hivyo Manji hana hatia,,,,,,,,,,,lete maneno tena ya kuitetea serikaliacheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Mkuu tumeshasubiri sasa na tumeona matokeo yake .acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Duuh!!Siyo ka punch wamebanwa baada ya containers za dengu na mbaazi kurudishwa. Wangefanyaje?
Ati nyusiii!? hawanazo kitamboMungu wangu hivi akipunch kesi zote wale watu wanaficha wapi nyusi zao?
Nawaza mzigo wa fidia utakaolipwa na Watanzania huku aliyesababisha hasara hiyo akipambwa na kusifiwa!!ni usumbufu tu wanamfanyia manji lakini hakuna cha kesi hapo
hahahaha, sawa bwana leo wewe mshindi. tutakutana siku ingine mtani.Mkuu tumeshasubiri sasa na tumeona matokeo yake .
Zero kwenye paper hata kwenye kuwaza ni zero pia aka DAB bingwa wa kushindwa.
ule ulikuwa utani tu mkuu, kama simba na yanga, lakini kwasasaivi, kwa serikali hii, hakuna anayesapoti wanachofanya, labda wanaofaidina nayo. ni kuleta tu hoja pingamizi ili kunogesha thread lakini kiuhalisia, niko upande wenu.Haya mkuu,tumeshasubiri hukumu imetoka serikali imekosa ushahid,,,,hivyo Manji hana hatia,,,,,,,,,,,lete maneno tena ya kuitetea serikali
Habari mkuu,kesi inaendeleaje..?acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.