Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

hapo ndo ujue we ni mjinga kabisa. epa walishafungwa sana, kwa wale wanaoenda kisutu mara nyingi tunawajua kina katiti na wenzake...tatizo mnafikiria kwa kupitia masaburi. sio vitu vyote serikali inashindwa......

Nikiendelea kubishana na wewe ntapoteza muda
 
- Haya maelezo yanatakiwa mahakamani sio huku, hii sio siasa kumbuka Manji yupo rumande mnapoandika hivi mnawachkonoa wanasiasa sijui kama mnamsaidia Manji, cause mtu yoyote mwenye akili kubwa kama mimi ukisoma hii unajua kabisa kuwa imeandikwa na mtu wenye sababu maalum behind it, jamani hii Serikali sio ile ya zamani!!

le Mutuz
Kiko wapi baba mdogo ,mnapoteza kitu kimoja tu?muwe ma judge na mahakimu ccm wote hapo mta win
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Haya mkuu,tumeshasubiri hukumu imetoka serikali imekosa ushahid,,,,hivyo Manji hana hatia,,,,,,,,,,,lete maneno tena ya kuitetea serikali
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Mkuu tumeshasubiri sasa na tumeona matokeo yake .

Zero kwenye paper hata kwenye kuwaza ni zero pia aka DAB bingwa wa kushindwa.
 
Siyo ka punch wamebanwa baada ya containers za dengu na mbaazi kurudishwa. Wangefanyaje?
 
Mkuu tumeshasubiri sasa na tumeona matokeo yake .

Zero kwenye paper hata kwenye kuwaza ni zero pia aka DAB bingwa wa kushindwa.
hahahaha, sawa bwana leo wewe mshindi. tutakutana siku ingine mtani.
 
Haya mkuu,tumeshasubiri hukumu imetoka serikali imekosa ushahid,,,,hivyo Manji hana hatia,,,,,,,,,,,lete maneno tena ya kuitetea serikali
ule ulikuwa utani tu mkuu, kama simba na yanga, lakini kwasasaivi, kwa serikali hii, hakuna anayesapoti wanachofanya, labda wanaofaidina nayo. ni kuleta tu hoja pingamizi ili kunogesha thread lakini kiuhalisia, niko upande wenu.
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Habari mkuu,kesi inaendeleaje..?
 
Back
Top Bottom