Manji katutapeli Mbagala, Yanga kaeni chonjo

Mchumi90

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,099
Reaction score
1,315
Habari wana jamvi,

Naomba niwape angalizo watani wangu Yanga kuhusu huyu bwana Yusuph Manji. Kama mnakumbuka aligombea Kata ya Mbagala Kuu kwa tiketi ya CCM.
Kweli alikuja na staili yake ya kulaghai watu, mosi alipitisha form kwa wananchi kuwaambia waoanishe matatizo yao na kero, watu wakaona wamepata mkombozi lakini wapi.

Pili akaja na plan yake ambayo kama mnakumbuka iliandaliwa kwa ufundi kuwalaghai watu na cha kushangaza ilisambazwa na mwananchi Tz nzima wakati alikuwa anagombea Mbagala Kuu tu, maajabu mpaka leo hakuna jipya.

Alianza kwa kutoa magreda ya kurekebisha barabara na kuzoa taka bure, watu wakaingia kingi wakatapeliwa. Baada ya mbwembwe zote hizo leo Mbagala Kuu ni kilio tu, wanajuta kwa nini walimchagua. Najua huyu jamaa baada ya kukosa Umeya alilufa nguvu kabisa. Nawaonya Yanga msije kudanganywa na huyu jamaa mtakuja umia na kujuta.

Jifunzeni kutoka kwenye Kata yake.
 
Ovyo hilo kwa yebo yebo halina nafasi kwavile tayari wanae manji miaka kadhaa sasa..!
 
Unaweza kumlinganisha na yule aliyeingiza hela za mauzo ya Okwi kwenye account yake binafsi? Au yule aliyeingiza hela za mauzo ya Sammata kwenye account ya mke wake?
Mbumbumbu FC.
 
Wewe wamatopeni unajifanya Yanga leo. Nonsense!
 
Habari wana jamvi,

Naomba niwape angalizo watani wangu Yanga kuhusu huyu bwana Yusuph Manji. Kama mnakumbuka aligombea Kata ya Mbagala Kuu kwa tiketi ya CCM.
Kweli alikuja na staili yake ya kulaghai watu, mosi alipitisha form kwa wananchi kuwaambia waoanishe matatizo yao na kero, watu wakaona wamepata mkombozi lakini wapi.

Pili akaja na plan yake ambayo kama mnakumbuka iliandaliwa kwa ufundi kuwalaghai watu na cha kushangaza ilisambazwa na mwananchi Tz nzima wakati alikuwa anagombea Mbagala Kuu tu, maajabu mpaka leo hakuna jipya.

Alianza kwa kutoa magreda ya kurekebisha barabara na kuzoa taka bure, watu wakaingia kingi wakatapeliwa. Baada ya mbwembwe zote hizo leo Mbagala Kuu ni kilio tu, wanajuta kwa nini walimchagua. Najua huyu jamaa baada ya kukosa Umeya alilufa nguvu kabisa. Nawaonya Yanga msije kudanganywa na huyu jamaa mtakuja umia na kujuta.

Jifunzeni kutoka kwenye Kata yake.

Ulitaka awagawie fedha ?
 
Kwani yy ni serikali ? hilo ni jukumu la sirikali yy alikuwa anasaidia tu
 
Oyaaaa huo ni mpuyango OG fanya yako achana na ya yanga
 
....nyie mlikuwa mnatumika km ngazi tu, akishawapanda akajua atakuwa meya!, bahati mbaya kawapanda fresh, ila umeya ukagoma!, ndo kajisepesha kiaina.
 
Ufukala wa wakazi wa mbagala kuu bwana walishindwa kumpa kura mpiganaji said mkangwa a.k.a catapiral
 
inaonekana nyinyi mmepata bonge la diwani ametoa mpaka magreda ya kusembua bara bara kwenye kata yake tuulize sisi wenzeo wabunge na madiwani wetu wametunyia nini? hata kutushukuru tu kwa kuwapa kura(kula)wanaona shida

Dah, umenigusa, mie sijamuona diwani tangu siku ile tulipolinda kura zake na kuchangia mafuta ya Mawakala. Natamani huyo angekuwa Diwani wangu wallah, tungeringa sana kuchongewa barabara
 
Hivi nyinyi kabisa mulitazamia Manji anaeishi Sea view aje kuwahudumia nyinyi bila ya faida yo yote?

Alipoondolewa kwenye list mulifanya NA maandamano kabisa, yeye hakuhudhuria vikao vya awali vya uteuzi lakini mulimpitisha. Kwa hivyo kwa sasa mulie tu.
 
Unahela wewe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Yanga hawawez kuongea kitu kwa jamaa miaka kumi basi mm nitaiomba miaka 20 alfu namipa 27% nembo sina shida nayo na jina pia silitak[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Hivi nyinyi kabisa mulitazamia Manji anaeishi Sea view aje kuwahudumia nyinyi bila ya faida yo yote?

Alipoondolewa kwenye list mulifanya NA maandamano kabisa, yeye hakuhudhuria vikao vya awali vya uteuzi lakini mulimpitisha. Kwa hivyo kwa sasa mulie tu.
Ana tabia ya kuhamisha magoli kila wakati. Ukiangalia malengo yake utaona hatimizi hata moja. Kila siku anawaweka kwenye matumaini. Lakini haya yote yana mwisho, poleni sana na mtaumia sana nikumbuka uwanja wa BAKWATA pale Chang'ombe akaja pale kwenye magodauni UFI, aisee ngoja tuone mwisho wa filamu utakuwaje.
 
Yuko poa, mwacheni atumie pesa yake kuiendesha yanga, tujifunze kutoka kwa wenzetu.
 
13882587_1072115822871925_820617744828126013_n.jpg
 
Habari wana jamvi,

Naomba niwape angalizo watani wangu Yanga kuhusu huyu bwana Yusuph Manji. Kama mnakumbuka aligombea Kata ya Mbagala Kuu kwa tiketi ya CCM.
Kweli alikuja na staili yake ya kulaghai watu, mosi alipitisha form kwa wananchi kuwaambia waoanishe matatizo yao na kero, watu wakaona wamepata mkombozi lakini wapi.

Pili akaja na plan yake ambayo kama mnakumbuka iliandaliwa kwa ufundi kuwalaghai watu na cha kushangaza ilisambazwa na mwananchi Tz nzima wakati alikuwa anagombea Mbagala Kuu tu, maajabu mpaka leo hakuna jipya.

Alianza kwa kutoa magreda ya kurekebisha barabara na kuzoa taka bure, watu wakaingia kingi wakatapeliwa. Baada ya mbwembwe zote hizo leo Mbagala Kuu ni kilio tu, wanajuta kwa nini walimchagua. Najua huyu jamaa baada ya kukosa Umeya alilufa nguvu kabisa. Nawaonya Yanga msije kudanganywa na huyu jamaa mtakuja umia na kujuta.

Jifunzeni kutoka kwenye Kata yake.
kabla ya Manji diwani wa Mbagala Kuu aliwaletea maendeleo gani?
 
Back
Top Bottom