Mchumi90
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,099
- 1,315
Habari wana jamvi,
Naomba niwape angalizo watani wangu Yanga kuhusu huyu bwana Yusuph Manji. Kama mnakumbuka aligombea Kata ya Mbagala Kuu kwa tiketi ya CCM.
Kweli alikuja na staili yake ya kulaghai watu, mosi alipitisha form kwa wananchi kuwaambia waoanishe matatizo yao na kero, watu wakaona wamepata mkombozi lakini wapi.
Pili akaja na plan yake ambayo kama mnakumbuka iliandaliwa kwa ufundi kuwalaghai watu na cha kushangaza ilisambazwa na mwananchi Tz nzima wakati alikuwa anagombea Mbagala Kuu tu, maajabu mpaka leo hakuna jipya.
Alianza kwa kutoa magreda ya kurekebisha barabara na kuzoa taka bure, watu wakaingia kingi wakatapeliwa. Baada ya mbwembwe zote hizo leo Mbagala Kuu ni kilio tu, wanajuta kwa nini walimchagua. Najua huyu jamaa baada ya kukosa Umeya alilufa nguvu kabisa. Nawaonya Yanga msije kudanganywa na huyu jamaa mtakuja umia na kujuta.
Jifunzeni kutoka kwenye Kata yake.