BUTCH jamaa huwa ana vurugu huyu, kuna ile alikuwa Homeless akaokotwa akajifanya kitoto...Tom ikawa kazi yake ku take care of him
Bila kuishau episode ya El magnifico Mouse “nobody can catch el-magnifico mouse”
Baadhi ya watu ukiongea mambo ya Tom na Jerry wanakushangaa wanasema umri umeenda eti[emoji28]
Akajiwekea na jiwe la wasifu wa marehemu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiii naikumbuka sana. Mkuu nikumbushe ile walikuwa wanagombea kitanda cha kulala cha kuninginia inaitwajeHii episode ni one of my favorite, inaitwa MOUSE EXTERMINATOR.....🤣🤣🤣
Tom alisumbuliwa na Jerry akapiga simu kwa BUTCH, jamaa likaja na Briefcase kubwa kweli.
Sasa Jerry akawashinda wote wawili, BUTCH kuona kafedheheshwa akatoa gobole akaanza mfukuza Tom.
Episode yenyewe hii hapa:
Ile inaitwa "To Nap or Not To Nap" kama sikosei.......Hiii naikumbuka sana. Mkuu nikumbushe ile walikuwa wanagombea kitanda cha kulala cha kuninginia inaitwaje
Ile Episode inaitwa "BABY BUTCH"....BUTCH jamaa huwa ana vurugu huyu, kuna ile alikuwa Homeless akaokotwa akajifanya kitoto...Tom ikawa kazi yake ku take care of him
Bila kuishau episode ya El magnifico Mouse “nobody can catch el-magnifico mouse”
Baadhi ya watu ukiongea mambo ya Tom na Jerry wanakushangaa wanasema umri umeenda eti[emoji28]
Hii Episode inaitwa "Timid Tabby".......
Ndio hiyo hiyo nimeonaIle inaitwa "To Nap or Not To Nap" kama sikosei.......
Mnyama Tom kaenda nje kula bata kwenye swing bed yake halafu Jerry kaja kuingiza mbu kwenye neti....
Hii Episode inaitwa "Timid Tabby".......
Hii Episode inaoitwa SLEEPY-TIME TOM.....Habari za wakati huu
Katika utoto wangu nilikuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa katuni hasa Tom & Jerry lakini kwa jinsi watu wanavyoiongezea manjonjo kwa sasa nabaki kufurahi tu.
Nyingine mtaongezaView attachment 2299967
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Cousin muscles anaitwa. Jerry aliwahi kumuandikia barua ili aje kumtia adabu Tom.Tom akalishtukia sema lile jamaa lina vurugu aisee
Kiboko yao yule Jerry’s cousin ambae mbabe anapiga ngumi sana