Manjonjo ya watu wanayo yaweka kutokana na katuni za Tom & Jerry

Im in love with cartoons and nature.
Tom and Jerry.
Ziggy and Shark.
Pink panther
Road runner

Mikimbio yao na kubamzana dah.! Ni raha sana kwa kweli.
 
Nini utotoni watu tunacheki mpaka sasa na hatuachi aseeh

Mimi binafsi namkubali sana Tom ,mishe zake huwa anachekesha sana kuliko Jerry

Halafu naskia eti jerry ni mwanamke?
 
Im in love with cartoons and nature.
Tom and Jerry.
Ziggy and Shark.
Pink panther
Road runner

Mikimbio yao na kubamzana dah.! Ni raha sana kwa kweli.
Ziggy & shark wanakuja vizuri sana
 
Nini utotoni watu tunacheki mpaka sasa na hatuachi aseeh

Mimi binafsi namkubali sana Tom ,mishe zake huwa anachekesha sana kuliko Jerry

Halafu naskia eti jerry ni mwanamke?
Mbona alipata demu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…