Manka Chuga aliye kuwa akinywa Pombe kama maji aomba msaada

Manka Chuga aliye kuwa akinywa Pombe kama maji aomba msaada

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
201
Manka Chuga, ambaye amekuwa akijulikana mitandaoni kwa kuonyesha ujasiri wake wa kunywa pombe kwa kiasi kikubwa, ametangaza kuacha matumizi ya pombe na sasa anaomba msaada wa kiafya.

Kupitia ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Manka amesema "Naomba radhi kwa watanzania wote wakubwa kwa wadogo, pombe nimeacha naombeni mnichangie afya yangu haipo sawa nipate matibabu ya haraka kabla hali yangu haijawa mbaya"

Kauli hiyo imeibua mjadala mitandaoni, huku baadhi ya watu wakimpongeza kwa uamuzi huo na kumtaka apewe msaada unaofaa ili kuendelea na maisha yake vizuri.



1787818925013.png
 
Je wewe mkuu ni mkamilifu na mtimilifu 100% ? Huna kosa lolote unalohitaji huruma ya Mungu ? Kwa mfano Mungu akikuacha bila kukupa hata tone la msaada utatoboa hata dk 5 ? Usihukumu !! Acha asaidiwe, lakini wewe usitoe.
Bila Mungu sitoboi hata sekunde 1. Ndio maana napenda sanankulitambua hilo na kuishi kwa nidhamu ya hali ya juu japo si kwamba ni mkamilifu.
Ila makusudi kama haya aambayo amekua akifanya huyu mama, wala tusimsingizie Mungu. Na wala huku sio kuhukumu. Ni kuzungumzia yale yale ambayo amekua akijisifu nayo. .
ILi kusaidia wengine tabia hizi za kipumbavu zisijirudia, narudia kushauri ASICHANGIWE HATA GOME LA SHILINGI KUMI.

N onyo hili walipate wapuuzi wengine wa arusha wanao trend sasa hivi facebuk wakikimbiza boda boda huku wamepakia wanawake wanatikisa matako. Hao nao siku yao inakuja yakuomba msaada.

Tukiendelea kuendekeza ujinga ujinga kama hui kila siku hii michezo haitaisha.

HURUMA SIO MALEZI
 
Je wewe mkuu ni mkamilifu na mtimilifu 100% ? Huna kosa lolote unalohitaji huruma ya Mungu ? Kwa mfano Mungu akikuacha bila kukupa hata tone la msaada utatoboa hata dk 5 ? Usihukumu !! Acha asaidiwe, lakini wewe usitoe.
Mungu Hana Huruma Acha uboya wewe
 
N onyo hili walipate wapuuzi wengine wa arusha wanao trend sasa hivi facebuk wakikimbiza boda boda huku wamepakia wanawake wanatikisa matako. Hao nao siku yao inakuja yakuomba msaada.

Tukiendelea kuendekeza ujinga ujinga kama hui kila siku hii michezo haitaisha.

HURUMA SIO MALEZI
Sahihi Afrika tunaendelea Sana ujinga ndio Maana hata viongozi wanatuona Sisi mapoyoyo,
 
Back
Top Bottom