Manka Chuga aliye kuwa akinywa Pombe kama maji aomba msaada

Manka Chuga, ambaye amekuwa akijulikana mitandaoni kwa kuonyesha ujasiri wake wa kunywa pombe kwa kiasi kikubwa, ametangaza kuacha matumizi ya pombe na sasa anaomba msaada wa kiafya.

Kupitia ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Manka amesema "Naomba radhi kwa watanzania wote wakubwa kwa wadogo, pombe nimeacha naombeni mnichangie afya yangu haipo sawa nipate matibabu ya haraka kabla hali yangu haijawa mbaya"

Kauli hiyo imeibua mjadala mitandaoni, huku baadhi ya watu wakimpongeza kwa uamuzi huo na kumtaka apewe msaada unaofaa ili kuendelea na maisha yake vizuri.

KKUSAIDIA TU NENDA PALE MUHIMBILI KITENGO CHA FIGO ANGALIA NANI ANAWEZA KUTOA YAKE AKUPE
MAKUBALIANO N SIRI YENU
 
Manka Chuga, ambaye amekuwa akijulikana mitandaoni kwa kuonyesha ujasiri wake wa kunywa pombe kwa kiasi kikubwa, ametangaza kuacha matumizi ya pombe na sasa anaomba msaada wa kiafya.

Kupitia ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Manka amesema "Naomba radhi kwa watanzania wote wakubwa kwa wadogo, pombe nimeacha naombeni mnichangie afya yangu haipo sawa nipate matibabu ya haraka kabla hali yangu haijawa mbaya"

Kauli hiyo imeibua mjadala mitandaoni, huku baadhi ya watu wakimpongeza kwa uamuzi huo na kumtaka apewe msaada unaofaa ili kuendelea na maisha yake vizuri.

Mpumbavu huyo kama mwenzake yule aliyezuga anaumwa kumbe muongo tu ,alikuwa anawajaza ,no huyo Boya anawajaza tena.
 
Naupongeza huo ugonjwa kwa kumpata mtu sahihi aliyetafuta hilo gonjwa, nauomba huo ugonjwa usimtoke hadi pale atakapoita maji mma
 
Katubu na kuomba msaada tuu ila hilo povu na sumu mnazomsagia duh 😂, mtakuwa na stress au life limewachapa mbaya
 
Ukute anaumwa UTI tu huyu anaomba msaada,huko chini kachakazwa haswa na wanunuzi wa hizo Pombe.
 
Back
Top Bottom