Je wewe mkuu ni mkamilifu na mtimilifu 100% ? Huna kosa lolote unalohitaji huruma ya Mungu ? Kwa mfano Mungu akikuacha bila kukupa hata tone la msaada utatoboa hata dk 5 ? Usihukumu !! Acha asaidiwe, lakini wewe usitoe.Alipanda hadharani.
Na mavuno ni hadharani.
Ushauri wangu ni huu.
ASICHANGIWE HATA MIA MBOVU.
Bila Mungu sitoboi hata sekunde 1. Ndio maana napenda sanankulitambua hilo na kuishi kwa nidhamu ya hali ya juu japo si kwamba ni mkamilifu.Je wewe mkuu ni mkamilifu na mtimilifu 100% ? Huna kosa lolote unalohitaji huruma ya Mungu ? Kwa mfano Mungu akikuacha bila kukupa hata tone la msaada utatoboa hata dk 5 ? Usihukumu !! Acha asaidiwe, lakini wewe usitoe.
Tabia za kisingle maza hizi🤣🤣Kupitia ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Manka amesema "Naomba radhi kwa watanzania wote wakubwa kwa wadogo, pombe nimeacha naombeni mnichangie afya yangu haipo sawa nipate matibabu ya haraka kabla hali yangu haijawa mbaya"
Mungu Hana Huruma Acha uboya weweJe wewe mkuu ni mkamilifu na mtimilifu 100% ? Huna kosa lolote unalohitaji huruma ya Mungu ? Kwa mfano Mungu akikuacha bila kukupa hata tone la msaada utatoboa hata dk 5 ? Usihukumu !! Acha asaidiwe, lakini wewe usitoe.
She gonna reap what she sowSi alijifanya mtaalamu wa kudandia treni ya mwendokasi kwa mbele?
Au siyo bana!
Sahihi Afrika tunaendelea Sana ujinga ndio Maana hata viongozi wanatuona Sisi mapoyoyo,N onyo hili walipate wapuuzi wengine wa arusha wanao trend sasa hivi facebuk wakikimbiza boda boda huku wamepakia wanawake wanatikisa matako. Hao nao siku yao inakuja yakuomba msaada.
Tukiendelea kuendekeza ujinga ujinga kama hui kila siku hii michezo haitaisha.
HURUMA SIO MALEZI
Walevi wenzie akina Mine-me na kina Manga jr watachangiaAlipanda hadharani.
Na mavuno ni hadharani.
Ushauri wangu ni huu.
ASICHANGIWE HATA MIA MBOVU.
Sijui alipokuwa anigida alikuwa anategemea nini?She gonna reap what she sow
Nina Marafiki zangu Wangoni wako vitandani wamelala wamegima miguu na matumbo baada ya Maini kukauka kwa kugida pombe na ngonoSijui alipokuwa anigida alikuwa anategemea nini?