Manka Chuga aliye kuwa akinywa Pombe kama maji aomba msaada

Je wewe mkuu ni mkamilifu na mtimilifu 100% ? Huna kosa lolote unalohitaji huruma ya Mungu ? Kwa mfano Mungu akikuacha bila kukupa hata tone la msaada utatoboa hata dk 5 ? Usihukumu !! Acha asaidiwe, lakini wewe usitoe.
Mkifika hapo ndio mnamkumbuka Mungu, Huyo Mungu amesema hadhihakiwi alipandalo mtu ndio analovuna sasa mtu yuko kwenye mavuno ndio unamuonea huruma kwanini hukuona huruma wakati anapanda hali ukijua mavuno si mazuri?
 
Mshamba huyo kuna wakusaidiwa lakini sio yeye mtafuta kiki na sifa za kijinga.. Hivi alidhani pole ni mma!?
 
Hili liwe fundisho kwa wengine wanaotafuta sifa za kipuuzi, mtu anajisifia kunywa pombe kali, anajisifia kutembea kingono na wanaume/wanawake wengi yakishampata kama huyu anaanza kutia huruma.
Hata Single mazas wako hivihivi anajisifu yeye mzuri kutembea na Mabwana wengi, kulala hotel za Maana kila mahaliz baadae akiachwa na Mimba plus Ukimwi ndio anaanza kuomba kuhurumiwa
 

Hivi zile kampuni zinazomiliki na kuzalisha hivyo vileo alizokuwa anabugia na kuwasaidia kutangaza biashara/bidhaa zao hawajawahi kujitokeza kumpongeza?

Kama amepata matatizo ya kiafya nafikiri ni wakati muafaka kwa kampuni hizo kumsaidia kwa kuwa aliwasaidia kunywa na kutangaza bidhaa zao....
 
Hata Single mazas wako hivihivi anajisifu yeye mzuri kutembea na Mabwana wengi, kulala hotel za Maana kila mahaliz baadae akiachwa na Mimba plus Ukimwi ndio anaanza kuomba kuhurumiwa
Hili ni fundisho na onyo kwetu sisi, mshahara wa dhambi ni mauti
 
 

Pombe haijawahi kumuacha mtu salama akijifanya anaijua sana
 
Kweli ujana maji ya moto,yani mtu anakunywa pombe kali utafikiri ana utumbo wa chuma...
 
Alitafuta trend na akatrend kweli,
Tupo nae mpk trend yke itakapoishia na RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…