falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
kwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini ukimwambia awashe gari yenye mfumo wa manual transmission hawezi, jua kabisa katika kundi la madereva wewe haupo,
Ukienda arusha unakuta dada anaendesha manual transmission hadi raha halafu wewe kidume hata ukipewa funguo huwezi kuwasha, na wakina dada mnaoendesha magari yenye mfumo wa automatic yaani nyinyi ndio vilaza kabisaaa na siwezi kuwakalia karibu endapo nitagundua mwanamke ndio a aendesha.
Mwanamke anaendesha auto she always a learner no matter how long she have been riding.
Real men use three pedal