Manual na Automatic

Manual na Automatic

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
kwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini ukimwambia awashe gari yenye mfumo wa manual transmission hawezi, jua kabisa katika kundi la madereva wewe haupo,

Ukienda arusha unakuta dada anaendesha manual transmission hadi raha halafu wewe kidume hata ukipewa funguo huwezi kuwasha, na wakina dada mnaoendesha magari yenye mfumo wa automatic yaani nyinyi ndio vilaza kabisaaa na siwezi kuwakalia karibu endapo nitagundua mwanamke ndio a aendesha.

Mwanamke anaendesha auto she always a learner no matter how long she have been riding.

Real men use three pedal
 
Daaah,.mie ambae sina hata funguo salamu utanipa kweliiii??? Aiseee life is not fair kabisa kabisaaa.
Usijali ukija kwangu ukija kwangu ntakupa ufunguo wa maisha
 
Daaah,.mie ambae sina hata funguo salamu utanipa kweliiii??? Aiseee life is not fair kabisa kabisaaa.
upload_2017-7-7_8-19-19.png
 
Manual haziwezi kupotea hasa kwenye gari kubwa na ngumu kama Land Cruiser Hardtop, Hilux, Land Rover Defender na nyingine kama hizo.

hayo magari yote uliyotaja ni magari ya shambani na tunataka ya mjini mkuu
 
Back
Top Bottom