Manual na Automatic

Manual na Automatic

kwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini ukimwambia awashe gari yenye mfumo wa manual transmission hawezi, jua kabisa katika kundi la madereva wewe haupo, ukienda arusha unakuta dada anaendesha manual transmission hadi raha halafu wewe kidume hata ukipewa funguo huwezi kuwasha, na wakina dada mnaoendesha magari yenye mfumo wa automatic yaani nyinyi ndio vilaza kabisaaa na siwezi kuwakalia karibu endapo nitagundua mwanamke ndio a aendesha, mwanamke anaendesha auto she always a learner no matter how long she have been riding. Real men use three pedal

MAGARI
Hasa tanzania ndo zimezidi hzi auto, mbona uingereza wenzetu ni manual tuu! Eti bongo kuna foleni ndo, manual inaleta usumbufu... Ndugu yngu kwa uvivu huu hatutaweza kujitawala kamwe. The real men uses three pedel!
 
Gari zpo manual ila bei yake n juu kulinganisha na automatic.. Na pia nwdays watu hawapend manual ndio mana nyng unakuta n automatic hawapend usumbufu[emoji622]
Sijakusoma mkuuu,,Mara manual ni beii juu,,Mara watu hawazipendi,,,,ukweli ni UPI?ninavojua hii teknolojia imepitwa na wakati,,so manual now daiz being iko chini course watu hawanunui tena
 
Eti Real Men drive with three pedals.

Wewe masikini hivyo unawapangia watu waendeshe nini?

Nimeendesha Manual miaka zaidi ya 10 sasa hivi sina jinsi zaidi ya kutumia gari zenye paddle shifts au auto zaidi.

Dunia inabadilia, teknolojia inakuwa more simplified.

Ndio maana hata siku hizi simu za button zinapotea.

Hata hizo manual zinakuwa simplified to paddle shifts.
 
Lakin mkuu bavaria ishu iko hvi:
Sikuzote manual ni gari imara na zenye nguvu! Mfano gari kma toyota vanguard toleo la mwaka 2010 yenye automatic transmission tukiilinganisha na manual transmission ya waka huohuo, basi manual itakua best kuliko hyo auto. Na kutokana na miundombinu yetu kiujumla bado haiafiki hzo auto coz maranyingi zinachagua njia za kupita. Naungana na hoja yako kua dunia inabadilika kulingana na ukuaji wa yeknolojia, ok basi ndivyo hivyo hivyo manual ya mwaka 1995 haiwezi kufanana na yamwaka 2016. Hvyo unaposikia manual usiichukulie kma gari iliyopitwa na wakati! Ni hyo tu mkuu wangu..
 
Eti Real Men drive with three pedals.

Wewe masikini hivyo unawapangia watu waendeshe nini?

Nimeendesha Manual miaka zaidi ya 10 sasa hivi sina jinsi zaidi ya kutumia gari zenye paddle shifts au auto zaidi.

Dunia inabadilia, teknolojia inakuwa more simplified.

Ndio maana hata siku hizi simu za button zinapotea.

Hata hizo manual zinakuwa simplified to paddle shifts.
sioni hoja uliyoandika rudi shule
 
kwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini ukimwambia awashe gari yenye mfumo wa manual transmission hawezi, jua kabisa katika kundi la madereva wewe haupo, ukienda arusha unakuta dada anaendesha manual transmission hadi raha halafu wewe kidume hata ukipewa funguo huwezi kuwasha, na wakina dada mnaoendesha magari yenye mfumo wa automatic yaani nyinyi ndio vilaza kabisaaa na siwezi kuwakalia karibu endapo nitagundua mwanamke ndio a aendesha, mwanamke anaendesha auto she always a learner no matter how long she have been riding. Real men use three pedal

MAGARI

Driving not riding

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi napendelea Tiptronic gear.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
huyu Jmaa fala kweli
Manual transmission zinaaanza kufa sasa hivi ni Automatic ndio zimetawala
Check Scania hizo R series zote ni Auto usikariri maisha. mjomba zile Landrover 108 ni mateso tuuu
Acha kujidanganya na kujiweka kwenye fungu la wajinga Dereva mzuri ni yule anaeendesha gari zote kwa makini na kanuni zote za usalama barabarani hakuna Dereva wa automatic zile ni gari za walemavu wazima tunaendesha tu kwa kuwa ndiyo zipo Gari ya Dereva ni manual tu

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Gari ndogo manual zipo kibao sana. Noah za mwaka 1999 na 2000 zipo manual, Hyundai i10 (zingine voda walikuwa wanagawa bure) ni manual. Toyota Yaris za 2002 nyingi manual. Sema tu inabidi tubadilike kadri teknolojia inavyobadilika
zinazotoka sasa hivi mkuu hzo ni zamani mkuuu
 
Acha kujidanganya na kujiweka kwenye fungu la wajinga Dereva mzuri ni yule anaeendesha gari zote kwa makini na kanuni zote za usalama barabarani hakuna Dereva wa automatic zile ni gari za walemavu wazima tunaendesha tu kwa kuwa ndiyo zipo Gari ya Dereva ni manual tu

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app

kwanini hautumii simu ya button
au hautumii jembe la mkono welcome to the new technology brother
 
Hataare sana, kitu kama hiki[emoji116] [emoji116] [emoji116]
6a26213e237dedb2c017a5575f8c12fd.jpg

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Mannual jembe.ukitaka uione nzuri zaidi.iwashie ipo kwenye gia.alaf huku mguu umeweka kwenye mafuta.utafurahi na roho yako
NB.wakati unafanya hivyo uwe peke na mbele KUSIWE NA KIZUIZI CHA AINA YOYOTE,

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom