Manual na Automatic

Manual na Automatic

Mkuu humu watu wazima wenzio bhana acha zako bhana gar mashine kwel ila mmmm up t 180 km per sec weeeee tuchunguzwe akili hapa
Umeonaeeh, iko chombo cha 2006, ila mshkaji kakimodify dizaini flani hvi amazing, kinaenda up to 180 kilometer in 3 seconds.. Acha watoto washabikie IST..

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
huyu Jmaa fala kweli
Manual transmission zinaaanza kufa sasa hivi ni Automatic ndio zimetawala
Check Scania hizo R series zote ni Auto usikariri maisha. mjomba zile Landrover 108 ni mateso tuuu
Unaweza mtoa anaeendesha gar ndogo automatic transmission akaendesha MAN, DAF, scania automatic? automatic jina Ile mkuuu shughul haipishan na manually

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Mkuu humu watu wazima wenzio bhana acha zako bhana gar mashine kwel ila mmmm up t 180 km per sec weeeee tuchunguzwe akili hapa

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
Siwez kubishana mkuu, ila ukwel ndo huo amini usiamini mambo haya yapo..

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Per second?

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
Mwenyewe nilikua kma ww, nilibisha sana hdi kufikia hatua kuwekeanadau. Ila mwisho wasiku nilisalimu amri, nolijionea kwamacho yangu.

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Hasa tanzania ndo zimezidi hzi auto, mbona uingereza wenzetu ni manual tuu! Eti bongo kuna foleni ndo, manual inaleta usumbufu... Ndugu yngu kwa uvivu huu hatutaweza kujitawala kamwe. The real men uses three pedel!
Kwa hicho ki inglishi chako hapo nahisi hata hiyo "Manual" inakupiga chenga za Messi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa balabala za nchi gan labda

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu hapa nakusudia highways, na sio more than a second kma unavosema, hyo ni technic ya hali yajuu imetumika pale engine imeboreshwa. Najua hta nkikwambia kwamachoz huwezi amini coz hta mm nlikua kma ww kma kawaida yetu wabongo tulivowagum kuamini. Mwisho wasiku nilijionea kwa macho yngu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Umeonaeeh, iko chombo cha 2006, ila mshkaji kakimodify dizaini flani hvi amazing, kinaenda up to 180 kilometer in 3 seconds.. Acha watoto washabikie IST..

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
Halina mjadala hilo
 
Mkuu humu watu wazima wenzio bhana acha zako bhana gar mashine kwel ila mmmm up t 180 km per sec weeeee tuchunguzwe akili hapa

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
Nafikiri alimaanisha acceleration, from 0 to 180km/h in 3secs.... uwezo wa gari kugain speed ndani ya muda mfupi, hii unaweza kunote pale mnapopunguza mwendo kwenye tuta, baada ya hapo mwenzio anakuacha kama vile umesimama....Ila kwa hizo data sijui unaondokea gia namba ngapi....
 
Back
Top Bottom