Manual na Automatic

Mkuu unaonekana umekulia kwenye maisha magumu.
Bado huamini katika maisha ya neema
 
Hasa tanzania ndo zimezidi hzi auto, mbona uingereza wenzetu ni manual tuu! Eti bongo kuna foleni ndo, manual inaleta usumbufu... Ndugu yngu kwa uvivu huu hatutaweza kujitawala kamwe. The real men uses three pedel!
Nyie ndo mnatembea mmejivika mashuka mjini huku pumbu zinaninginia,kuoga hamtaki mnanuka kikwapa kisa eti mnadunusha utamaduni wa mababu zenu wa zama za mawe.
 
Mzee Baba unaejiita Real Men, kipimo cha kuwa Real ni kujua kuendesha Gari yenye Manual transmition?????[emoji15] [emoji216] Na kwahiyo unataka kusema kuwa WASIOJUA EITHER OF THE TWO. NI WANAWAKE!??? MAANA KUNA WANAUME WASIOJUA HATA KAMA HUWA KUNA PEDAL 2 AU 3 !? CHUNGA SANA EEEEBOO
 
Mbona povu sana
 
nyie wenye auto gari ikifeli brake mnachukuaga hatua gani au ndo kufa kidigitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…